Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ashauri kuanzishwa mfuko wa kilimo cha pamba

SERIKALI imeshauriwa kuweka mfuko maalumu kwa ajili ya kuendeleza Kilimo cha Pamba hapa nchini badala ya kupoteza fedha zake nyingi katika kuendesha vikao vinavyohusu zao hilo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja wa Kiwanda cha Kahama oil Mill, William Matonange wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilimo cha mkataba ambacho wao kama wanunuzi wa zao hilo hawakubaliani nacho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nyangokolwa waachana na kilimo cha pamba

Wakulima wa zao la vitunguu katika Kijiji cha Nyangokolwa wilayani Bariadi, Mkoa wa Simiyu, wamenufaika na kilimo cha zao hilo baada ya kuachana na kilimo cha pamba kwa madai kuwa kina changamoto nyingi, zikiwamo kushuka kwa bei kila wakati.

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba

>Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe, mkoani hapa wamepinga kitendo cha Serikali kuhamasisha kilimo cha mkataba wa pamba, huku wakitaka elimu itolewe kwa wananchi kulima alizeti ili kuondokana na maisha duni

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la kudorora kilimo cha pamba ni soko au tija?

Kati ya yai na kuku kipi kilianza? Hili ni swali ambalo hutumiwa kila panapokuwa na jambo tata.

 

9 years ago

StarTV

Wakulima Nzega walalamikia pembejeo za kilimo cha pamba

Baadhi ya wakulima wa Pamba wilayani Nzega mkoani Tabora wameingiwa hofu ya kukiuka kalenda ya uzalishaji wa zao hilo kutokana na kucheleweshewa pembejeo za kilimo hicho zikiwemo mbegu.

Kwa mujibu wa kalenda ya Pamba kanda ya magharibi, ifikapo Novemba 15 hadi Desemba 15, zao hilo linapaswa kuwa limepandwa ili kuepuka mazalia ya wadudu waharibifu pamoja na kuimarisha ustawi wa zao hilo.

Mvua  za masika zimekwisha  anza kunyesha, wakulima  wengine wanaendelea  na shuguli za kilimo, hofu  ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Ukimwi mbioni kuanzishwa

IMG_4528

Mkurugenzi wa Sera, Mpango na Utafiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Raphael Kalinga akiwaeleza jambo waandishi wa Habari( Hawapo pichani) Wakati wa Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar Es Salaam.Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Tume Hiyo Bi. Nadhifa Omar.

Na Hassan Silayo-MAELEZO

Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imedhamiria kuanzisha Mfuko wa Ukimwi utakaolenga kuondoa upungufu wa Rasilimali katika...

 

11 years ago

Habarileo

Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri waridhia kuanzishwa Mfuko wa Ukimwi

William LukuviBARAZA la Mawaziri limepitisha suala la uanzishwaji wa Mfuko wa Ukimwi na kuridhia mapitio ya Sheria ya Ukimwi.

 

10 years ago

Habarileo

Ashauri namna ya kuboresha kilimo

SERIKALI imeshauriwa kununua mitambo ya kisasa ya kupima aina mbalimbali za udongo, kuondoa kodi katika pembejeo za kilimo na kutafiti kabla masoko ya mazao ya wakulima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani