Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba

>Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe, mkoani hapa wamepinga kitendo cha Serikali kuhamasisha kilimo cha mkataba wa pamba, huku wakitaka elimu itolewe kwa wananchi kulima alizeti ili kuondokana na maisha duni

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nyangokolwa waachana na kilimo cha pamba

Wakulima wa zao la vitunguu katika Kijiji cha Nyangokolwa wilayani Bariadi, Mkoa wa Simiyu, wamenufaika na kilimo cha zao hilo baada ya kuachana na kilimo cha pamba kwa madai kuwa kina changamoto nyingi, zikiwamo kushuka kwa bei kila wakati.

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri kuanzishwa mfuko wa kilimo cha pamba

SERIKALI imeshauriwa kuweka mfuko maalumu kwa ajili ya kuendeleza Kilimo cha Pamba hapa nchini badala ya kupoteza fedha zake nyingi katika kuendesha vikao vinavyohusu zao hilo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja wa Kiwanda cha Kahama oil Mill, William Matonange wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilimo cha mkataba ambacho wao kama wanunuzi wa zao hilo hawakubaliani nacho.

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la kudorora kilimo cha pamba ni soko au tija?

Kati ya yai na kuku kipi kilianza? Hili ni swali ambalo hutumiwa kila panapokuwa na jambo tata.

 

9 years ago

StarTV

Wakulima Nzega walalamikia pembejeo za kilimo cha pamba

Baadhi ya wakulima wa Pamba wilayani Nzega mkoani Tabora wameingiwa hofu ya kukiuka kalenda ya uzalishaji wa zao hilo kutokana na kucheleweshewa pembejeo za kilimo hicho zikiwemo mbegu.

Kwa mujibu wa kalenda ya Pamba kanda ya magharibi, ifikapo Novemba 15 hadi Desemba 15, zao hilo linapaswa kuwa limepandwa ili kuepuka mazalia ya wadudu waharibifu pamoja na kuimarisha ustawi wa zao hilo.

Mvua  za masika zimekwisha  anza kunyesha, wakulima  wengine wanaendelea  na shuguli za kilimo, hofu  ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakataa kilimo cha mkataba

Chama Kikuu cha Ushirika Igembensabo, mkoani Tabora, kinachojumuisha wilaya za Nzega na Igunga, kimeazimia kuachana na kilimo cha pamba cha mkataba kutokana na kutokuwa na faida kwa wakulima.

 

10 years ago

Habarileo

Watafiti wahimiza kilimo cha mkataba

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Joseph KuzilwaWATAFITI wa ndani na nje wametaka kilimo cha mkataba kikuzwe nchini kwa kuwa kina nafasi kubwa ya kumwendeleza mkulima mdogo na kuleta maendeleo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watafiti: Kilimo cha mkataba ni mkombozi

WATAFITI wa ndani na nje wametaka kilimo cha mkataba kikuzwe kwa kuwa kina nafasi ya kumuendeleza mkulima mdogo. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Joseph Kuzilwa alitoa ushauri huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka sheria katika kilimo cha mkataba

Serikali imeshauriwa kuharakisha kutunga sheria na kanuni zitakazosaidia kuongoza kilimo cha mkataba ili wakulima wadogo waweze kunufaika zaidi kiuchumi na shughuli za kilimo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kuharakisha sheria ya kilimo cha mkataba

SERIKALI imeshauriwa kuharakisha kutunga sheria na kanuni zitakazosaidia kuongoza kilimo cha mkataba ili wakulima wadogo waweze kunufaika zaidi. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Joseph Kuzilwa, alitoa ushauri huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani