Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yashauriwa kuharakisha sheria ya kilimo cha mkataba

SERIKALI imeshauriwa kuharakisha kutunga sheria na kanuni zitakazosaidia kuongoza kilimo cha mkataba ili wakulima wadogo waweze kunufaika zaidi. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Joseph Kuzilwa, alitoa ushauri huo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wataka sheria katika kilimo cha mkataba

Serikali imeshauriwa kuharakisha kutunga sheria na kanuni zitakazosaidia kuongoza kilimo cha mkataba ili wakulima wadogo waweze kunufaika zaidi kiuchumi na shughuli za kilimo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakataa kilimo cha mkataba

Chama Kikuu cha Ushirika Igembensabo, mkoani Tabora, kinachojumuisha wilaya za Nzega na Igunga, kimeazimia kuachana na kilimo cha pamba cha mkataba kutokana na kutokuwa na faida kwa wakulima.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watafiti: Kilimo cha mkataba ni mkombozi

WATAFITI wa ndani na nje wametaka kilimo cha mkataba kikuzwe kwa kuwa kina nafasi ya kumuendeleza mkulima mdogo. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Joseph Kuzilwa alitoa ushauri huo...

 

11 years ago

Habarileo

Watafiti wahimiza kilimo cha mkataba

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Joseph KuzilwaWATAFITI wa ndani na nje wametaka kilimo cha mkataba kikuzwe nchini kwa kuwa kina nafasi kubwa ya kumwendeleza mkulima mdogo na kuleta maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba

>Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe, mkoani hapa wamepinga kitendo cha Serikali kuhamasisha kilimo cha mkataba wa pamba, huku wakitaka elimu itolewe kwa wananchi kulima alizeti ili kuondokana na maisha duni

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JIHADHARI, HAUTARURUHUSIWA KUFANYA TRANSFER AU KUPATA HATI IKIWA UNA MKATABA WA SERIKALI ZA MITAA.

Na Bashir YakubHapo  awali  niliandika  namna  sheria isivyowaruhusu  viongozi  wa  serikali  za mitaa  kuandaaa  na  kusimamia  mauzo  na manunuzi  ya nyumba au viwanja. Nikasema  kitu hicho  hakiruhusiwi  katika  sheria  na wanaofanya  hivyo  hakika  wako  katika  makosa  makubwa.  Nikasisitiza kuwa  wewe ambaye  mkataba  wako  umeandikiwa serikali za mitaa  ujue wazi  kuwa mkataba wako wa manunuzi   hauna  hadhi  kisheria. Huu ni ukweli  ambao  nitazidi  kuusema ili  kuwaepusha watu  na...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema malengo ya Serikali ni kukifanya kilimo cha umwagiliaji kuleta mapinduzi ya kijani.

 

11 years ago

Dewji Blog

Makampuni ya utafiti yashauriwa kuongeza bidii kupata mbegu bora za kilimo

Na Nathaniel Limu, Singida

MAKAMPUNI yanayojishughulisha na tafiti mbali mbali za nafaka yameshauriwa kuongeza juhudi zaidi ili kupata mbegu bora zitakazowasaidia wakulima kupata chakula cha kutosha na kujikomboa kiuchumi.

Wito huo umetolewa hivi karibuni na Diwani wa Kata ya Mwasauya (CCM) tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida, Seleman Ntandu wakati akizungumza kwenye kilele cha sherehe za wakulima wa kata ya Ikhanoda na Mwasauya.

Amesema ili kilimo kiweze kuwa na tija kwa wakulima hasa...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA


 Na Pamela Mollel, Arusha.

KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5  ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira

Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani