Wakataa kilimo cha mkataba
Chama Kikuu cha Ushirika Igembensabo, mkoani Tabora, kinachojumuisha wilaya za Nzega na Igunga, kimeazimia kuachana na kilimo cha pamba cha mkataba kutokana na kutokuwa na faida kwa wakulima.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Oct
Watafiti wahimiza kilimo cha mkataba
WATAFITI wa ndani na nje wametaka kilimo cha mkataba kikuzwe nchini kwa kuwa kina nafasi kubwa ya kumwendeleza mkulima mdogo na kuleta maendeleo.
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Watafiti: Kilimo cha mkataba ni mkombozi
WATAFITI wa ndani na nje wametaka kilimo cha mkataba kikuzwe kwa kuwa kina nafasi ya kumuendeleza mkulima mdogo. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Joseph Kuzilwa alitoa ushauri huo...
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Wataka sheria katika kilimo cha mkataba
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Serikali yashauriwa kuharakisha sheria ya kilimo cha mkataba
SERIKALI imeshauriwa kuharakisha kutunga sheria na kanuni zitakazosaidia kuongoza kilimo cha mkataba ili wakulima wadogo waweze kunufaika zaidi. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Joseph Kuzilwa, alitoa ushauri huo...
5 years ago
MichuziWANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA
Na Pamela Mollel, Arusha.
KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5 ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira
Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...
11 years ago
Michuzi19 Mar
WARSHA YA UBORESHAJI WA KILIMO CHA APPLES MAKETE KWA MAAFISA KILIMO YAFUNGULIWA
5 years ago
MichuziMASAWE AGUSIA BAJETI 2020/2021 NA KUSISITIZA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA KILIMO ILI KUENDANA NA TEKNOLOJIA YA KILIMO CHA KIDIGITAL
Aidha upande wa suala la uboreshaji wa kilimo kwa kuweka mazingira ya upatikanaji wa vifaa vya kilimo kwa gharama nafuu ikiwa ni...
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO