Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ashauri namna ya kuboresha kilimo

SERIKALI imeshauriwa kununua mitambo ya kisasa ya kupima aina mbalimbali za udongo, kuondoa kodi katika pembejeo za kilimo na kutafiti kabla masoko ya mazao ya wakulima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ashauri kuanzishwa mfuko wa kilimo cha pamba

SERIKALI imeshauriwa kuweka mfuko maalumu kwa ajili ya kuendeleza Kilimo cha Pamba hapa nchini badala ya kupoteza fedha zake nyingi katika kuendesha vikao vinavyohusu zao hilo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja wa Kiwanda cha Kahama oil Mill, William Matonange wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilimo cha mkataba ambacho wao kama wanunuzi wa zao hilo hawakubaliani nacho.

 

10 years ago

Mwananchi

Je, unajua namna ya kuboresha haiba yako?

Je, ukikutana na mtu akakuuliza kama una haiba utamjibu vipi? Pengine huenda ukashindwa kumjibu kwa sababu hujui maana ya neno haiba. Siku moja nilimsikia mtu fulani akimwambia mwenzake.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania na Colombia zajadili namna ya kuboresha ushirikiano wa kiuchumi

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Rajabu Gamaha (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Asia, Afrika na Oceania kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Colombia, Bibi Sandra Salamanca. katika kikao hicho, viongozi hao walijadili namna Tanzania na Colombia zitakavyoweza kushirikiana ili kutumia fursa zinazopatikana katika nchi hizo kwa madhumuni ya kuinua kipato cha wananchi wao. Bibi Salamanca (kulia) akisisitiza jambo huku Balozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maonesho nanenane kuboresha kilimo TZ?

Mkulima ananufaika vipi na maonesho ya kilimo?

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema malengo ya Serikali ni kukifanya kilimo cha umwagiliaji kuleta mapinduzi ya kijani.

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea wa Chadema aahidi kuboresha kilimo

MGOMBEA ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega amesema atakapochaguliwa, moja ya vipaumbele vyake vikubwa, itakuwa ni kuboresha sekta ya Kilimo kwa kuhakikisha pembejeo bora za kilimo, zinapatikana kwa wakati.

 

11 years ago

Habarileo

Benki, Suma JKT kuboresha kilimo

BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) kwa kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa kupitia SUMA JKT, wamesaini makubaliano ya kufanya mageuzi makubwa ya kilimo cha biashara cha umwagiliaji kwenye ardhi inayomilikiwa na jeshi hilo.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU MTENDAJI MKUU BRN AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA KILIMO

Naibu Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Mtokeo Makubwa Sasa! (BRN), Peniel Lyimo akizungumza katika mkutano wa wadau wa kilimo ulioandaliwa na taasisi ya ACT na kuhusisha wadau zaidi ya 100 wa sekta ya kilimo nchini ambapo alieleza jinsi BRN inavyosaidia kuboresha mazingira ya uwekezaji katika biashara na kilimo. Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau wa kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Uwezeshaji Kilimo Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI

Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) imesaini mkataba wa miaka miwili (MoU) na Chuo Kikuu cha Afya cha Muhimbili (MUHAS) idara ya Mazingira na Afya bora kazini(Environmental and Occupational Health Sciences) ili kuboresha taluma za madaktari.
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani