AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI
Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) imesaini mkataba wa miaka miwili (MoU) na Chuo Kikuu cha Afya cha Muhimbili (MUHAS) idara ya Mazingira na Afya bora kazini(Environmental and Occupational Health Sciences) ili kuboresha taluma za madaktari.
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTanzania yasaini mkataba wa Sh. bilioni 15.5 kutoka benki ya ADB kuboresha kituo cha utafiti MUHAS.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii...
9 years ago
Michuzi04 Dec
TANZANIA YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salam Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile amesema kuwa kupitia ushirikiano uliopo baina ya nchi hizo mbili, Serikali ya Uswisi inaendelea kusaidia kuboresha Sekta ya Afya nchini hususani kuhakikisha wananchi wanapata huduma...
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YASAINI MKATABA WA KUBORESHA HUDUMA ZA UFUNDI WA VIFAA TIBA
Pia kuwapa vitendea kazi(tools kits, measuring and calibration equipment) vyenye kuwezesha mafundi kuhakiki ubora wa ufanyaji kazi kwa baadhi ya vifaa tiba...
10 years ago
Michuziuzinduzi wa Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi wilayani same
10 years ago
Michuzimafunzo ya Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi yazinduliwa wilayani same.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Anne Kilango Malecela amewataka walimu wanaofanya kazi katika maeneo wanayotoka kuwa na nidhamu ya kazi ili kuendelea kuinua ubora wa Elimu nchini.
Akizungumza katika uzinduzi wa Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi inayoendelea katika wilaya ya Same amesema sababu kubwa ya kushuka kwa taaluma katika wilaya hiyo ni kutokana na walimu kufundisha katika maeneo ya nyumbani. Kitu kinachosababisha muda mwingi...
10 years ago
Michuzi01 Sep
Umuhimu wa vipimo na takwimu ili kuboresha biashara
Ingawa ushindani ni mkubwa sanasana, lakini...
10 years ago
MichuziTTCL na Huawei waingia mkataba wa kuboresha mawasiliano nchini
10 years ago
MichuziTanzania kuboresha Miundombinu yake ili kuongeza kasi ya Uwekezaji
9 years ago
StarTV03 Dec
Jeshi la polisi laombwa kuboresha mikakati Ili Kudhibiti Ajali Za Barabarani Â
Siku moja baada ya ajali ya basi kugongana na Lori la mafuta na kusababisha vifo vya watu 12 papo hapo na kujeruhi wengine 18 mkoani Singida, baadhi ya wanachi wameliomba Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, kuangalia upya mikakati yake kudhibiti tatizo hilo nchini.
Ajali hiyo ilitokea jana Jumanne majira ya saa 1:30 usiku katika eneo la Kizonzo- Shelui Wilaya ya Iramba barabara kuu ya Singida-Mwanza na kulihusisha basi la Kampuni ya TAKBIIRY lenye namba za usajili T. 230 BRJ...