TTCL na Huawei waingia mkataba wa kuboresha mawasiliano nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-f_GbUC0xJQI/VMePOIgw93I/AAAAAAAG_wM/eYIM4Aygs5Q/s72-c/IMG_6295.jpg)
Afisa Mtendaji Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang wakisaini mikataba ya makubaliano ya kupanua na kuboresha mtandao wa TTCL wa simu za mezani, mkononi pamoja na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambao unagharimu zaidi ya kiasi cha dola za kimarekani milioni 182.
Afisa Mtendaji Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
HUAWEI Tanzana yaleta mapinduzi ya mawasiliano nchini
Mkurugenzi wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen akitoa mada katika mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano kuhusiana na kampuni yake kwa kuleta maboresho ya mawasiliano ya simu hapa nchini ambapo wananchi wa vijijini na mjini wanaendelea kunufaika na huduma ya kampuni hiyo kwa bei nafuu za simu.Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano wakifatilia mada iliyokuwa ikitolewa na...
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa ushirikiano na Apple
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-X634UbgI2ow/VD5EtyIg6RI/AAAAAAAGqk0/-cGDN7ph7XY/s72-c/ABG%2B1.jpg)
AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eTRF36d7Qps/U1aIEBzD7_I/AAAAAAAFcT8/yMcril5FHUE/s72-c/unnamed+(17).jpg)
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini
![](http://4.bp.blogspot.com/-eTRF36d7Qps/U1aIEBzD7_I/AAAAAAAFcT8/yMcril5FHUE/s1600/unnamed+(17).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-oYPBc82Rwk8/U1aIFHnaNeI/AAAAAAAFcUE/yoCEBleKf-Y/s1600/unnamed+(18).jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
NHC sasa waingia mkataba na DSE
NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limeingia mkataba na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wa mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wake wa Morocco Square ulioko Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkataba huo ulitiwa saini jana na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa DSE, Moremi Marwa.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano hayo, Mchechu alisema mkataba huo utagharimu sh. bilioni 3.3 na kwamba malipo yatafanyika kwa awamu nne katika...
9 years ago
Mwananchi31 Aug
NHC, benki waingia mkataba kusaidia wateja
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
TTCL yaahidi ufanisi mawasiliano vijijini
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imeahidi kutekeleza kwa ufanisi na kwa wakati zabuni iliyoshinda ya mradi wa kutoa huduma za mawasiliano vijijini. Ahadi hiyo ilitolewa na Ofisa Mkuu wa Masoko...