Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC sasa waingia mkataba na DSE


NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limeingia mkataba na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wa mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wake wa Morocco Square ulioko Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkataba huo ulitiwa saini jana na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa DSE, Moremi Marwa.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano hayo, Mchechu alisema mkataba huo utagharimu sh. bilioni 3.3 na kwamba malipo yatafanyika kwa awamu nne katika...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NHC na DSE waingia mkataba wa makubaliano ya bilioni 3.366 ya kitega uchumi cha Morocco Square

hc1

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii).

hc2

Mkurugenzi wa Shirika...

 

9 years ago

Mwananchi

NHC, benki waingia mkataba kusaidia wateja

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limeingia mkataba wa makubaliano na benki nyingine nne ili kuwawezesha wateja wake wanaotaka kununua nyumba za shirika hilo kupata mikopo.

 

10 years ago

Michuzi

TTCL na Huawei waingia mkataba wa kuboresha mawasiliano nchini

Afisa Mtendaji Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang wakisaini mikataba ya makubaliano ya kupanua na kuboresha mtandao wa TTCL wa simu za mezani, mkononi pamoja na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambao unagharimu zaidi ya kiasi cha dola za kimarekani milioni 182.Afisa Mtendaji Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang...

 

10 years ago

GPL

NHC, UCHUMI SUPERMARKET WASAINI MKATABA KIBIASHARA

Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi Supermarket, Dk. Jonathan Ciano akiongea jambo wakati wa makubaliano hayo na NHC. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu wakati wa makubaliano hayo.…

 

11 years ago

Michuzi

NHC yasaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujeni wa Nyumba 5,000 za garama nafuu.Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalum.
 Mhe.Prof Marck Mwandosya,Waziri, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe MasharikiMawaziri mwingine aliyehudhuria...

 

10 years ago

Michuzi

NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM ZATILIANA SAINI MKATABA WA MANUNUZI YA ENEO LA OFISI JENGO LA MOROCCO SQUARE

hc1
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii) hc2Mkurugenzi wa Shirika la...

 

10 years ago

Mwananchi

NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limepata mkopo wa Dola za kimarekani 1.7 bilioni kutoka China kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya miji ya kisasa jijini Dar es salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZ: MKATABA WA YANGA, OKWI HAUPO NA SASA YUPO HURU KUCHEZEA TIMU YOYOTE AITAKAYO

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7 mwaka huu) na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo mgogoro wa kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Emmanuel Okwi (pichani kushoto akipokea jezi baada ya kusajiliwa na Simba). Mkataba huo ulipitiwa na Kamati ikiwemo kumsikiliza mchezaji mwenyewe pamoja na upande wa Yanga, na kuridhika kuwa mkataba kati ya pande hizo umevunjika. Ukiwa ni mkataba wa pande mbili, Yanga ilikiuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani