Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limepata mkopo wa Dola za kimarekani 1.7 bilioni kutoka China kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya miji ya kisasa jijini Dar es salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

NHC yashauriwa kujenga nyumba za kisasa pembezoni mwa miji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete amewashauri watendaji wa shirika la nyumba kuwa wabunifu kwa kujenga nyumba zenye hadhi ya juu pembezoni mwa mji ili kupunguza msongamano katikati ya jiji  la Dar Es Salaam.

Pia amelitaka shirika la nyumba la taifa kujiunga na mkongo wa taifa ili kuweza kufanya shughuli zake kupitia mtandao na kurahisisha upatikanaji wa  huduma kwa watanzania.

Akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa Morroco Square, ulio chini ya shirika la...

 

11 years ago

Habarileo

NHC kujenga miji midogo 3

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema limedhamiria kubadili na kuboresha mandhari katika Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine baada ya kuzindua miradi mitatu ya ujenzi wa miji midogo.

 

10 years ago

Michuzi

ARUSHA KUPATA MIJI MIWILI YA KISASA-NHC

Wawasilishaji, James Kisarika, Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City na Ms. Meena Pandit, Mkurugenzi , PHILS International  ambao ni Washiriki wa NHC katika katika uendelezaji wa Mradi huo.
 Pichani.
James Kisarika akisalimiana na  Katibu Tawala Mkoa, Ndugu Ado Mapunda, muda mfupi Kabla kuanza mawasilisho ya Mradi Wa Safari City.
 Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City akitoa mada kuhusu mradi huo .  Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati ya...

 

9 years ago

Vijimambo

NHC YAZIDI KUPANUA MIRADI, PINDA AZINDUA JENGO LINGINE LA MAKAZI NHC PALACE ENEO LA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu baada ya kuweka jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place linalojengwa katika eneo la Victoria jijini Dar es slaam Oktoba 20, 2015Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengoa makazi na biashara la Cictoria Place linalojengwa na NHC katika eneo...

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM


Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...

 

10 years ago

Habarileo

Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akipeperusha bendera kuashiria kuanza kwa safari za treni ya kisasa katika Kituo cha Reli Dar es Salaam jana huku Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika Mashariki wakishuhudia. (Na Mpigapicha Wetu).TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.

 

9 years ago

Dewji Blog

NHC yazindua mauzo ya nyumba katika mradi wake wa Kawe Jijini Dar es Salaam!

NH9Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Kyando Mchechu (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Novemba 26, 2015 Jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mauzo ya nyumba katika mradi mpya wa Seven Eleven (711) ulioko Kawe Jijini Dar es Salaam (kulia) Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah.

NH2Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Kyando Mchechu akiwaonesha waandishi wa habari...

 

10 years ago

Michuzi

JK AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani