Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa mara ya kwanza mabasi ya kisasa Dar es salaam

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam

TATIZO la usafiri katika jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua kufuatia kuanza kupindi cha mpito cha mabasi Yaendayo Haraka (BRT) mwezi ujao kufuatia kuwasili kwa mabasi 138 katika Bandari ya Dar es Salaam kutoa China tayari kwa huduma ya usafiri.  Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki aliwaambia waandishi wa habari jana wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo, kuwa wakazi wa Dar es Salaama kwa sasa wataanza kutumia...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond […]

 

9 years ago

Michuzi

Dk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, Mkuu wa Mkowa wa Dar es salaam, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi na viongozi wa UDART wakikagua mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva  Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi akifurahia kutimia kwa ndoto ya kuanza kwa mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva   Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi...

 

10 years ago

Bongo5

Mamia wafurika kuangalia #Furious7 kwa mara ya kwanza kwenye majumba ya sinema Dar tiketi zaisha

Filamu ya Fast & Furious 7 imezinduliwa leo April 3 duniani kote. Tanzania ni moja ya nchi zilizoionesha filamu hiyo kwa mara ya kwanza. Hamu kubwa ya mashabiki wa filamu nchini, imeyafanya majumba ya sinema jijini Dar es Salaam kuuza tiketi nyingi kuliko kawaida. Meneja wa Century Cinemax iliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Avril asimulia kwa mara ya kwanza jinsi alivyoanguka kwenye swimming pool wakati akitumbuiza Dar

Kwa mara ya kwanza muimbaji wa Kenya, Avril amelizungumzia tukio lililotokea miaka miwili iliyopita jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitumbuiza kwenye Pool Party iliyofanyika kwenye hoteli ya Regency Park, Mikocheni. Kwenye show hiyo ambayo rapper Prezzo pia alitumbuiza, Avril alijikuta akitumbukia kwenye bwawa la kuogelea lililokuwa mbele ya jukwaa. Bahati nzuri mrembo huyo anajua […]

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

10 years ago

Habarileo

Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akipeperusha bendera kuashiria kuanza kwa safari za treni ya kisasa katika Kituo cha Reli Dar es Salaam jana huku Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika Mashariki wakishuhudia. (Na Mpigapicha Wetu).TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.

 

9 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA TIFFAH LIVE!

Staa wa Bongo Fleva,  Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mzazi mwenzake Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wakimtoa mtoto wao, Latiffah Nasibu 'Princes Tiffah'. Sherehe yake ya 40 usipime, Zari, Diamond waandika historia Na waandishi wetu YAMETIMIA! Baada ya kutoonekana sura kwa zaidi ya siku 40 tangu azaliwe, hatimaye mtoto wa mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Latifah...

 

10 years ago

Mwananchi

NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limepata mkopo wa Dola za kimarekani 1.7 bilioni kutoka China kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya miji ya kisasa jijini Dar es salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani