Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond
Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
Mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu athibitisha kuwa ZARI ni mjamzito
Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa, mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.
Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika
“Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu...
9 years ago
Bongo521 Dec
Picha: Diamond uso kwa uso na watoto watatu wa mpenzi wa zamani wa Zari
![diamond na watoto wa zari](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/diamond-na-watoto-wa-zari-300x194.jpg)
Diamond Platnumz ameamua kuudhihirishia ulimwengu kuwa licha ya kuwa mama wa mtoto wake, Zarinah Tlale alimkuta na watoto watatu wa baba mwingine, lakini hilo halimzuii kuhang na watoto hao ambao baba yao ni Ivan Ssemwanga.
Akiwa Uganda weekend iliyopita Diamond na Zari walipost picha za familia ambapo kwenye moja ya picha hizo Diamond amepiga akiwa Zari na binti yao Tiffah na watoto wengine wa zari, na kusindikiza na caption ya kijembe.
“Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho...
9 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Wastara onesha miguu yake kwa mara ya kwanza toka alipokatwa mguu mmoja miaka 6 iliyopita
![Wastara](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/06/Wastara-200x133.jpg)
Weekend iliyopita muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Wastara Juma aliamua kuweka wazi kile kinachoendelea kwenye maisha yake toka alipokatwa mguu wake wa kulia miaka 6 iliyopita.
Akiwa jijini Nairobi kwenye matibabu, Wastara alipost picha hii kwenye akaunti yake ya Intagram na kuandika ujumbe ufuatao;
“Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kma unavyoiona pic.
Huyo ndio...
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
PICHA:Kuwa Wakwanza Kuziona Picha za Kwanza za Lulu Kwa Mwaka Huu
Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mtandandaoni ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu kwa mwanadada huyu kufanya “Professional Photo Shoots” chini ya manifester brand.
Jionee hapo juu picha za mrembo huyu alizopigwa akiwa maendo ya gereji.
Wengi wamezipenda, wewe je?
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Burundi yatangaza kuwa na wagonjwa wa corona kwa mara ya kwanza
9 years ago
Bongo Movies14 Nov
Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu Yake na Kuandika Mazito
Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kama unavyoiona pic
Huyo ndio wastara nilivyo hakuna kilichopungua zaidi ya hicho unachokiona
Kuwa mlemavu ni kitu kingine tofauti ukiwa mzima hivyo kusikia maumivu na kuumwa mguu ni kitu cha kawaida
Sasa nipo nairobi kimatibabu na tatizo ni operetion ya kwanza nilikosewa ndio sababu ya maumivu ya mara kwa mara madaktari wameshajua nini cha...
10 years ago
Bongo510 Jan
Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Mpya: Kwa mara ya kwanza Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyolitikisa jiji la Tanga Dec 25
Harmonize ni moja kati ya wasanii walioibuka kwa kasi katika tasnia ya muziki hapa nchini, achilia uwezo wa kuimba pekee..! bali namna pia anavyoweza kulimiliki jukwaa, ni wengi hawajawahi kumshuhudia msanii huyu pindi awapo stejini, sasa hapa leo nakuweka karibu naye upate kushuhudia baadhi ya matukio yaliyojiri katika show yake ya kwanza aliyoifanya usiku wa […]
The post Mpya: Kwa mara ya kwanza Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyolitikisa jiji la Tanga Dec 25 appeared first on...