MGOMO WA MABASI DAR ES SALAAM
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam
TATIZO la usafiri katika jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua kufuatia kuanza kupindi cha mpito cha mabasi Yaendayo Haraka (BRT) mwezi ujao kufuatia kuwasili kwa mabasi 138 katika Bandari ya Dar es Salaam kutoa China tayari kwa huduma ya usafiri. Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki aliwaambia waandishi wa habari jana wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo, kuwa wakazi wa Dar es Salaama kwa sasa wataanza kutumia...
10 years ago
GPLMGOMO WA MABASI, DALADALA WAZIDI KUTIKISA DAR
Polisi wakiwa wametanda eneo la Stendi ya Ubungo kuhakikisha hali ya usalama. Wananchi wakiwa wametaharuki katika eneo la Ubungo kutokana na mgomo unaoendelea.…
10 years ago
GPL
TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA STAND YA MABASI UBUNGO, DAR
Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar. Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo jijini Dar. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP + 255 753 715…
10 years ago
GPLYALIYOJIRI LEO KATIKA MGOMO WA MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA DAR
Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao. Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya. Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.…
10 years ago
GPLMGOMO DALADALA, MABASI WAZIDI KUTIKISA DAR, MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA!
Baadhi ya abiria wakionekana kurudi kwao baada ya kushindwa kusafiri. Mtetezi wa Chama cha Abiria Nchini, Gervas Lutakuzinga akizungumza na wanahabari ikiwa ni siku ya pili ya mgomo wa mabasi na daladala za jijini Dar es Salaam.…
10 years ago
Habarileo11 Apr
Vurugu mgomo wa madereva Dar es Salaam
MGOMO wa madereva wa mabasi ya mikoani na baadhi ya mabasi ya usafiri Dar es Salaam maarufu daladala uliofanyika jana, uliambatana na vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kulazimisha askari Polisi kutumia mabomu ya machozi kurejesha hali ya amani.
10 years ago
Michuzi
MGOMO WA MADEREVA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.




10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.

Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania