Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vurugu mgomo wa madereva Dar es Salaam

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka akizungumza na umati wa madereva hao.(Picha na Fadhili Akida).MGOMO wa madereva wa mabasi ya mikoani na baadhi ya mabasi ya usafiri Dar es Salaam maarufu daladala uliofanyika jana, uliambatana na vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kulazimisha askari Polisi kutumia mabomu ya machozi kurejesha hali ya amani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.

 Katibu Mkuu wa Chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),Rashid Salehe akizungumza na madereva (hawapo pichani) katika Kituo kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mgomo wa mabasi yaendayo mikoani.Makamu Mwenyekiti wa chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),akizungumza na Madereva wa mabasi yanayosafirisha abiri (hawapo hewani),waliogoma kusafirisha abiri kwa madai yao ya Mikataba ya kazi pamoja na Ajira za kudumu.  Madereva wakiwa wameshika mabango katika...

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR

Mabasi yaendayo mikoani yakiwa Stendi ya Ubungo yamepaki. Wasafiri wakiwa hawajui hatma ya safari yao eneo la Ubungo. Hali halisi ya Ubungo ilivyokuwa asubuhi leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

MADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO

 Umati wa abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungu huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar. Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.

 Mmoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
 Katika kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA STAND YA MABASI UBUNGO, DAR

Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar. Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo jijini Dar. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP + 255 753 715…

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI LEO KATIKA MGOMO WA MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA DAR

Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao. Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya. Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.…

 

10 years ago

Bongo5

Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)

Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani