Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMO WA MADEREVA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.

 Katibu Mkuu wa Chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),Rashid Salehe akizungumza na madereva (hawapo pichani) katika Kituo kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mgomo wa mabasi yaendayo mikoani.Makamu Mwenyekiti wa chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),akizungumza na Madereva wa mabasi yanayosafirisha abiri (hawapo hewani),waliogoma kusafirisha abiri kwa madai yao ya Mikataba ya kazi pamoja na Ajira za kudumu.  Madereva wakiwa wameshika mabango katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS ALIPOKUTANA NA MADEREVA UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na madereva wa mabasi pamoja na kuwaanga madereva hao katika hoteli ya Blue Peal jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS ALIPOKUTANA NA MADEREVA LEO UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutuba madereva kwenye mkutano uliofanyika leo Jumamosi Octoba 3, 2015 jijini Dar.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA STAND YA MABASI UBUNGO, DAR

Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar. Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo jijini Dar. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP + 255 753 715…

 

10 years ago

Dewji Blog

Scoop Exclusive: Matukio yaliyoajili masaa 31 Mgomo wa madereva kituo cha Ubungo Dar

IMG_20150505_094804Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Poul Makonda akiwa na maafisa wa jeshi la Polisi wakielekea eneo la nyuma jirani na ofisi za madereva..

“Huenda ufahamu…basi tunakufahamisha sasa!!!

Na Andrew Chale,Modewji blog

Matukio kuanzia asunuhi:

Mtandao wako bora ambao ulipiga kambi ndani ya kituo cha mabasi Ubungo na kulala hapa hapa, umeweza kukusanyia wewe msomaji wetu matukio muhimu ambayo  yameweza kupatikana kuanzia usiku, asubuhi na hadi mchana ulipomalizika mgomo huo wa madereva leo Mei 5, majira...

 

10 years ago

Habarileo

Vurugu mgomo wa madereva Dar es Salaam

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka akizungumza na umati wa madereva hao.(Picha na Fadhili Akida).MGOMO wa madereva wa mabasi ya mikoani na baadhi ya mabasi ya usafiri Dar es Salaam maarufu daladala uliofanyika jana, uliambatana na vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kulazimisha askari Polisi kutumia mabomu ya machozi kurejesha hali ya amani.

 

10 years ago

Vijimambo

MADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO

 Umati wa abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungu huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar. Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.

 Mmoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
 Katika kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la...

 

11 years ago

GPL

KITUO KIPYA KILICHOSUSIWA NA MADEREVA DALADALA UBUNGO JIJINI DAR

Eneo la kituo kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower. Wamiliki na madereva wanayofanya safari zake kati ya Ubungo na Mwenge jijini Dar leo wamegomea amri ya kutumia kituo kipya walichoamriwa na serikali kukitumia kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower, Ubungo jijini Dar. Mwanahabari wetu alitembelea kituo hicho na kukuta mafundi wakiendelea na ujenzi huku kukiwa na marundo ya vifusi. PICHA NA RICHARD BUKOS...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani