Scoop Exclusive: Matukio yaliyoajili masaa 31 Mgomo wa madereva kituo cha Ubungo Dar
Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Poul Makonda akiwa na maafisa wa jeshi la Polisi wakielekea eneo la nyuma jirani na ofisi za madereva..
Na Andrew Chale,Modewji blog
Matukio kuanzia asunuhi:Mtandao wako bora ambao ulipiga kambi ndani ya kituo cha mabasi Ubungo na kulala hapa hapa, umeweza kukusanyia wewe msomaji wetu matukio muhimu ambayo yameweza kupatikana kuanzia usiku, asubuhi na hadi mchana ulipomalizika mgomo huo wa madereva leo Mei 5, majira...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 May
Exclusive siku ya pili mgomo wa madereva: Wadumu masaa 31, DC Makonda auzima ‘kiaina’
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Poul Makonda akiongea na umati wa madereva na wapiga debe waliofurika ndani ya kituo cha mabasi Ubungo mapema leo ambapo amewataka madereva kuacha mgomo na waendelee na safari huku matatizo yao ya msingi yakishughulikiwa ikiwemo kuangalia tume iliyoundwa kama imezingatia vitu muhimu akiwemo muakilishi wa madereva anayeaminika pamoja na tume hiyo kuwa ya uwazi huku akisisitiza kuwa, endapo hadi kesho saa nne asubuhi ( Mei 6), tume hiyo haitakuwa na vitu vya...
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Breaking News!!! Â Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima
…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Exclusive siku ya pili mgomo wa Madereva;Mbowe wa Chadema atinga Ubungo na kushangiliwa
Mbunge wa Hai na Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe akiwasili kwenye ofisi za madereva Ubungo muda huu huku akishangiliwa…
Na Andrew Chale, Modewji blog
Mgomo ambao ulianza jana na kuendelea hadi leo Mei 5, umechukua sura mpya baada ya hali tete ya kutoelewana baina ya viongozi wa madereva na baadhi ya viongozi wa Serikali ikiwemo jeshi la Polisi nchini, akiongozwa na Kamanda Mpinga, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambapo viongozi hao na madereva licha ya...
10 years ago
Dewji Blog05 May
Exclusive Usiku huu Mgomo wa Madereva: Abiria walala ndani ya mabasi Ubungo, Mo blog ipo ‘live’
Mwandishi Mwandamizi wa Modewji blog (mtandao huu), Andrew Chale akiwa ndani ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo, Jijini Dar es Salaam akiendelea ‘kusaka’ habari hasa kujionea mazingira ya abiria waliokuwa na watotom wagonjwa na wasiojiweza wanavyopata taabu usiku huu baada ya mgomo huo huku abiria wakilala kwenye magari waliokatia tiketi
Na Andrew Chale, Modewji blog
Hadi muda huu wa saa tano na nusu usiku (11:34 pm) leo Mei 4, Mtandao wako bora nchini wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m6gs1Zz9oLA/VUeHZxpCIvI/AAAAAAAAAU4/dEFFEnugFJo/s72-c/IMG_7319.jpg)
MGOMO WA MADEREVA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.
![](http://4.bp.blogspot.com/-m6gs1Zz9oLA/VUeHZxpCIvI/AAAAAAAAAU4/dEFFEnugFJo/s640/IMG_7319.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-M2SQ_RS0xDE/VUeHZeBEjFI/AAAAAAAAAU0/vsYM9KWKnT0/s640/IMG_7360.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ej1jbbW7D8Q/VUeHbwcEtGI/AAAAAAAAAVE/9Sy8MgJQ7hk/s640/IMG_7395.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hE4i5mAkXBw/VUeLqzxROxI/AAAAAAAAAVY/PoZrScwDCA8/s640/IMG_7220.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-herO9MoPhVN1JE52Oc7xfPRrDr2VCu0jxHgMO4gJy3nb1fW2Wo5u-MS2RnYMpvuIZeZ0LrEHiDtwIgev-56KgXS/MGOMO1.jpg?width=650)
TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA STAND YA MABASI UBUNGO, DAR
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/PIQthgg7_44/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBImr3BxSJ5IpNGU4peM*3Osfc5IyWay8SKYqTLyAfTr2mmjw6lawuMJijj3A9fWsa2x8oFP3FA*j1-bkgOH0H*Bh/2.jpg?width=650)
KITUO KIPYA KILICHOSUSIWA NA MADEREVA DALADALA UBUNGO JIJINI DAR