Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclusive siku ya pili mgomo wa madereva: Wadumu masaa 31, DC Makonda auzima ‘kiaina’

IMG_20150505_123345.jpgMako

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Poul Makonda akiongea na umati wa madereva na wapiga debe waliofurika  ndani ya kituo cha mabasi Ubungo mapema leo ambapo amewataka madereva kuacha mgomo na waendelee na safari huku matatizo yao ya msingi yakishughulikiwa ikiwemo kuangalia tume iliyoundwa kama imezingatia vitu muhimu akiwemo muakilishi wa madereva anayeaminika pamoja na tume hiyo kuwa ya uwazi huku akisisitiza kuwa, endapo hadi kesho saa nne asubuhi ( Mei 6), tume hiyo haitakuwa na vitu vya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive siku ya pili mgomo wa Madereva;Mbowe wa Chadema atinga ashangiliwa

mbowe

Mbunge wa Hai na Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe akiwasili kwenye ofisi za madereva Ubungo muda huu huku akishangiliwa…

Na Andrew Chale, Modewji blog

Mgomo ambao  ulianza jana na kuendelea hdi leo Mei 5, umechukua sura mpya baada ya hali tete ya kutoelewana baina ya viongozi wa madereva na baadhi ya viongozi wa Serikali ikiwemo jeshi la Polisi nchini, akiongozwa na Kamanda Mpinga, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambapo viongozi hao na madereva licha ya kufikia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive siku ya pili mgomo wa Madereva;Mbowe wa Chadema atinga Ubungo na kushangiliwa

mbowe

Mbunge wa Hai na Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe akiwasili kwenye ofisi za madereva Ubungo muda huu huku akishangiliwa…

Na Andrew Chale, Modewji blog

Mgomo ambao  ulianza jana na kuendelea hadi leo Mei 5, umechukua sura mpya baada ya hali tete ya kutoelewana baina ya viongozi wa madereva na baadhi ya viongozi wa Serikali ikiwemo jeshi la Polisi nchini, akiongozwa na Kamanda Mpinga, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambapo viongozi hao na madereva licha ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Scoop Exclusive: Matukio yaliyoajili masaa 31 Mgomo wa madereva kituo cha Ubungo Dar

IMG_20150505_094804Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Poul Makonda akiwa na maafisa wa jeshi la Polisi wakielekea eneo la nyuma jirani na ofisi za madereva..

“Huenda ufahamu…basi tunakufahamisha sasa!!!

Na Andrew Chale,Modewji blog

Matukio kuanzia asunuhi:

Mtandao wako bora ambao ulipiga kambi ndani ya kituo cha mabasi Ubungo na kulala hapa hapa, umeweza kukusanyia wewe msomaji wetu matukio muhimu ambayo  yameweza kupatikana kuanzia usiku, asubuhi na hadi mchana ulipomalizika mgomo huo wa madereva leo Mei 5, majira...

 

10 years ago

GPL

HALI TETE, MGOMO WA MADEREVA WAINGIA SIKU YA PILI LEO

Taswira nzima ya mabasi yaendayo mikoani katika Stendi ya Ubungo. MGOMO wa madereva umeingia siku ya pili leo baada ya kuanza jana asubuhi huku wakazi mbalimbali wakiwemo wa jijini Dar wakilazimika kutembea kwa mguu kwenda kwenye maeneo yao ya kufanyia shughuli za kila siku. Wananchi wakiwa wametaharuki katika eneo la Ubungo kutokana na mgomo unaoendelea. Mitaa mbalimbali… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive Mgomo wa madereva: Mabomu ya Machozi muda huu yapigwa hali mbaya

IMG_20150504_131123Kiongozi wa madereva nchini, Rashid Said, akiongea na umati wa madereva kaatika sakata hilo ambapo alikuwa akitoa ufafanuzi na namna ya kumsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike eneo hilo kuongea na madereva hao.

News Alert; MUDA HUU SAA KUMI NA DAKIKA 19 !!!!!!MABOMU MABOMU MABOMU !!! ASKARI POLISI SASA HIVI WANAPIGA MABOMU HOVYO YA MACHOZI  TAYARI WAMEPIGA MAWILI WATU WANAKIMBIA HOVYO!

 **Mgomo kuwa wa muda mrefu zaidi: madereva wasema hata wakikaa siku tatu watakula biskuti

 Na Andrew...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC wa Kinondoni, Paul Makonda azungumzia maafikiano yaliyofikiwa kumaliza mgomo wa madereva nchini

IMG_3707

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maafikiano hayo.

IMG_3656

Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale

 MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema Serikali  imetimiza masharti ya madereva kwa kuunda kamati ya kushughulikia kero na matatizo ya madereva ambayo inatarajia kuanza kazi yake Ijumaa.

Hatua...

 

10 years ago

GPL

PAUL MAKONDA AZUNGUMZIA MAAFIKIANO YALIYOFIKIWA KUMALIZA MGOMO WA MADEREVA NCHINI‏

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu muafaka uliofikiwa kufuatia mgomo wa madereva uliofanyika ofisi ya waziri mkuu kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali. Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo. Na Dotto Mwaibale MKUU wa Wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani