DC wa Kinondoni, Paul Makonda azungumzia maafikiano yaliyofikiwa kumaliza mgomo wa madereva nchini
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maafikiano hayo.
Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema Serikali imetimiza masharti ya madereva kwa kuunda kamati ya kushughulikia kero na matatizo ya madereva ambayo inatarajia kuanza kazi yake Ijumaa.
Hatua...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPAUL MAKONDA AZUNGUMZIA MAAFIKIANO YALIYOFIKIWA KUMALIZA MGOMO WA MADEREVA NCHINI
10 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU), CHAMKABIDHI MLEZI WAO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA RASIMU YA MKATABA WA MABORESHO YA MASLAHI YAO.
10 years ago
Dewji Blog04 May
Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchini, washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!
Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).
Na Andrew Chale, Modewji blog
Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
NAIBU KATIBU WA MADEREVA AZUNGUMZIA MGOMO WAO UNAOPANGWA KUANZA KESHO

10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUSOMESHA YATIMA 12
Hayo aliyabainisha Dar es Salaam jana wakati Kampuni ya Simu za mkononi Zantel ikikabidhi kisima cha maji safi katika kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka jijini Dar es Salaam.
Watoto hao 12, ambapo 8 kati yao wana elimu ngazi ya sekondari huku 3 wakitakiwa...