MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUSOMESHA YATIMA 12
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (pichani), ameahidi kusomesha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu 12, ikiwa ni kuwalipia ada za shule.
Hayo aliyabainisha Dar es Salaam jana wakati Kampuni ya Simu za mkononi Zantel ikikabidhi kisima cha maji safi katika kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka jijini Dar es Salaam.
Watoto hao 12, ambapo 8 kati yao wana elimu ngazi ya sekondari huku 3 wakitakiwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IfTy5tV7J9k/VOtmI5vPKlI/AAAAAAAHFeU/zoPXEMkaTGg/s72-c/unnamed.jpg)
Paul Makonda aapishwa leo kuwa mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni
![](http://4.bp.blogspot.com/-IfTy5tV7J9k/VOtmI5vPKlI/AAAAAAAHFeU/zoPXEMkaTGg/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Haya matano ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Sauti yake kutoka @PB CloudsFM
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/02/1890627_780321122049682_415026655172911331_o.jpg?resize=546%2C364)
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUTUMIA SEHEMU YA MSHAHARA WAKE KUWALIPA WANASHERIA
Dotto Mwaibale
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema atachukua sehemu ya mshahara wake kwa ajili ya...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/66IDXHAHK5E/default.jpg)
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA SEKTA YA MAKAZI 2015
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-l5Zn9TNjz0g/VXkVYIWseWI/AAAAAAAAQzY/-kMHAdr6vWA/s72-c/1.jpg)
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI MCHANGA MTO MBEZI NA KAWE
![](http://1.bp.blogspot.com/-l5Zn9TNjz0g/VXkVYIWseWI/AAAAAAAAQzY/-kMHAdr6vWA/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LjCf9sd3oW4/VXkVY_nZppI/AAAAAAAAQzg/YDqOYaYS77Y/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7LaPsJXjmjY/VXkVZVTjbSI/AAAAAAAAQzk/9OQw9osZvsQ/s640/3.jpg)
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA MAONESHO YA 5 YA KAMPUNI YA EAG GROUP LEO JIJINI DAR.