Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda atia rumande maafisa ardhi kwa kuchelewa
![](http://img.youtube.com/vi/66IDXHAHK5E/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJIâ€
10 years ago
GPLMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP
9 years ago
StarTV26 Nov
Maafisa ardhi Kinondoni wawekwa rumande kwa saa 6
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameagiza kuwekwa ndani kwa Maofisa Ardhi wote wa Wilaya ya Kinondoni kwa saa sita kutokana na kuchelewa kufika katika eneo la Sangwe Kata ya Wazo walipokuwa wamekubaliana kukutana kwa ajili kutafuta suluhisho la migogoro ardhi katika eneo hilo.
Kwa Mujibu wa Makonda, Kitendo cha Maofisa ardhi hao kuchelewa katika eneo la tukio ni utovu wa Nidhamu na ukiukaji wa maadili ya kazi ambayo yanazidi kuwafanya wananchi kuishi kwa shida kutokana na...
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUSOMESHA YATIMA 12
Hayo aliyabainisha Dar es Salaam jana wakati Kampuni ya Simu za mkononi Zantel ikikabidhi kisima cha maji safi katika kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka jijini Dar es Salaam.
Watoto hao 12, ambapo 8 kati yao wana elimu ngazi ya sekondari huku 3 wakitakiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IfTy5tV7J9k/VOtmI5vPKlI/AAAAAAAHFeU/zoPXEMkaTGg/s72-c/unnamed.jpg)
Paul Makonda aapishwa leo kuwa mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni
![](http://4.bp.blogspot.com/-IfTy5tV7J9k/VOtmI5vPKlI/AAAAAAAHFeU/zoPXEMkaTGg/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA SEKTA YA MAKAZI 2015
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Haya matano ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Sauti yake kutoka @PB CloudsFM
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/02/1890627_780321122049682_415026655172911331_o.jpg?resize=546%2C364)