MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo.
Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP
10 years ago
GPLMAKONDA APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50 KUTOKA KAMPUNI YA TSN
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA ACHANGIA MILIONI MOJA KUSAIDIA KUUNDA UMOJA WA MSASANI JOGGING CLUB
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lL2zlv-9190/XrUyw2XExWI/AAAAAAALpeY/jqf-MEZi6D8ywW_3smkW0HcB3Y6wqKv5QCLcBGAsYHQ/s72-c/6d92ec28-72f4-46f2-8e07-8e14b96d4b25.jpg)
RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...
5 years ago
CCM BlogTAASISI YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA CORONA VYENYE THAMANI YA MILIONI SABA
Kiongozi wa Taasisi ya Chuo cha Mafunzo pamoja na Group la Happy Hands Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vitu...
5 years ago
CCM BlogBARRICK BUZWAGI YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 48
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUSOMESHA YATIMA 12
Hayo aliyabainisha Dar es Salaam jana wakati Kampuni ya Simu za mkononi Zantel ikikabidhi kisima cha maji safi katika kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka jijini Dar es Salaam.
Watoto hao 12, ambapo 8 kati yao wana elimu ngazi ya sekondari huku 3 wakitakiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-at8dFEP3sX0/VIF4Bg4nQrI/AAAAAAACv70/ZFq_J-hbg3c/s72-c/1.jpg)
Airtel yatoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh mil 15 kwa chuo kikuu cha Dar es saalam
![](http://1.bp.blogspot.com/-at8dFEP3sX0/VIF4Bg4nQrI/AAAAAAACv70/ZFq_J-hbg3c/s1600/1.jpg)