Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akipeperusha bendera kuashiria kuanza kwa safari za treni ya kisasa katika Kituo cha Reli Dar es Salaam jana huku Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika Mashariki wakishuhudia. (Na Mpigapicha Wetu).TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI YA HALI YA BIASHARA YA MAZAO YATOKANAYO NA BIOTEKNOLOJIA YA KISASA YA MWAKA 2014 YAZINDULIWA DAR ES SALAAM LEO

Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kushoto), akionesha Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya kisasa ya mwaka 2014 baada ya kuizindua Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa wizara hiyo, Dk.Fidelis Myaka.
Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Raphael Daluti Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Treni ya kisasa Dar kutatua tatizo la foleni’

Wakati Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia akiitaka Serikali kutangaza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam kuwa ni janga la kitaifa, Serikali hiyo imeshauriwa kununua treni ya kisasa itakayogharimu Dola za Marekani 6 milioni (Sh9.9 bilioni) ili kuboresha usafiri na kupunguza gharama za uendeshaji treni ya sasa.

 

9 years ago

GPL

MAABARA YA KISASA YA TFDA YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mkuu wa Maabara ya Mikrobilojia wa  Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Dkt. Adelard Mtenga akitoa maelekezo ya vifaa vya maabara. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Hiiti Sillo akikata utepe kufungua mtambo huo. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Msaada kutoka Marekani, Kelly Hamblin. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya…

 

10 years ago

Vijimambo

Treni Mpya Ya Kisasa Yaanza Safari za Mwanza kuelekea Dar



Treni mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na madaraja matatu ambapo daraja la...

 

11 years ago

Habarileo

Usafiri wa treni Dar es Salaam kuongezwa

HUDUMA ya usafiri wa treni ya abiria jijini Dar es Salaam inatarajiwa kuongezwa mwaka huu watu wengi zaidi wanufaike. Aidha mchakato wa ujenzi wa barabara za juu ya nyingine katika njia panda za Tazara na Ubungo umeshaanza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Paisha yazinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam

Mgeni rasmi ambae pia ni rais wa Makampuni ya Convivium Africa Investment, Ndg Alfonso ippolito akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa platform mpya ya matangazo iliyozinduliwa hapo jana katika hoteli ya Serena.Paisha ni platform ya matangazo ambayo inapatikana kupitia simu za mkononi yaani smartphone na kupitia tovuti ambapo watumiaji wa simu za smartphone wanaweza kuipakua kupitia google play and playstore bure kabisa.

Meneja bidhaa wa Paisha, Godfrey Fataki akizungumzia jinsi...

 

5 years ago

CCM Blog

MUONEKANO WA STESHENI YA TRENI YA MWENDO KASI SGR DAR ES SALAAM

Mwonekano wa kituo cha treni ya SGR Dar es salaam, ujenzi bado unaendelea

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE YAZINDULIWA LEO DAR ES SALAAM

Waziri wa Afya Dokta Seif Rashid Na: Neema  Mwangomo, MHN                                              04  Sept  2015  Rais JAKAYA  KIKWETE leo amezindua Taasisi ya Moyo ambayo itajulikana kwa jina la  Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ( The Jakaya  Kikwete Cardiac Institute ) ambayo itatoa mafunzo ya Ubingwa wa juu katika fani ya Upasuaji wa Moyo , Usingizi na Tiba ya Moyo kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili( MUHAS).
            Akizindua Taasisi hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

PAISHA YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM HAPO JANA

Mgeni rasmi ambae pia ni rais wa Makampuni ya Convivium Africa Investment, Ndg Alfonso ippolito akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa platform mpya ya matangazo iliyozinduliwa hapo jana katika hoteli ya serena.Paisha ni platform ya matangazo ambayo inapatikana kupitia simu za mkononi yaani smartphone na kupitia tovuti ambapo watumiaji wa simu za smartphone wanaweza kuipakua kupitia google play and playstore bure kabisa.Meneja bidhaa wa Paisha, Godfrey Fataki akizungumzia jinsi paisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani