Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUONEKANO WA STESHENI YA TRENI YA MWENDO KASI SGR DAR ES SALAAM

Mwonekano wa kituo cha treni ya SGR Dar es salaam, ujenzi bado unaendelea

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Treni ya mwendo kasi yaja

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza usafiri mpya wa reli kwa kutumia treni maarufu za Delux, zitakazofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Kigoma hadi Mwanza, utakaoanza mwezi huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Japan yavunja rekodi treni mwendo kasi

Japan imevunja rekodi ya dunia ya mwendo kasi kwa treni zake ambapo sasa imefikisha mwendo wa kilomita 603 kwa saa

 

10 years ago

GPL

JAPAN YAVUNJA REKODI KWA KUWA NA TRENI YENYE MWENDO KASI ZAIDI DUNIANI

Japan imevunja rekodi hiyo kwa kuwa na treni ya mwendo kasi wa kilomita 590 kwa saa iliyowekwa wiki iliyopita katika jaribio lingine. Treni ya maglev ambayo haitegemei kugusana na chuma ndio itembee bali inaendeshwa kwa nguvu ya umeme, inatumia sumaku zilizochajiwa kwa umeme kunyanyua na kuvuta mabehewa juu ya njia ya reli. Treni ya Kati ya Japan, JR Central, ambayo inamiliki treni hizo, inataka kuanzisha huduma yake kati ya...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

9 years ago

GPL

MABASI YA MWENDO KASI KUANZA KAZI MWEZI DESEMBA JIJINI DAR

Mabasi ya mwendokasi yatakayofanya  kazi eneo la Morogoro Road kuanzia Kimara mpaka Kivukoni jijini Dar es Salaam.
Mabasi hayo wakati yanawasili Bandarini jijini Dar. Mkurugenzi mkuu wa wa mradi wa mabasi yaendayo kasi UDA-RT,  Bw. Robert Kisena ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam  amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kufanya … ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Hawa Ghasia azindua mafunzo ya madereva wa mabasi ya mwendo kasi Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam jana asubuhi. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akijaribu kuendesha moja ya...

 

10 years ago

Michuzi

Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi sasa kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.
Ripota wa Globu ya Jamii ambaye ni mmoja wa abiria hao,amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani