Treni ya mwendo kasi yaja
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza usafiri mpya wa reli kwa kutumia treni maarufu za Delux, zitakazofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Kigoma hadi Mwanza, utakaoanza mwezi huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Japan yavunja rekodi treni mwendo kasi
5 years ago
CCM BlogMUONEKANO WA STESHENI YA TRENI YA MWENDO KASI SGR DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLJAPAN YAVUNJA REKODI KWA KUWA NA TRENI YENYE MWENDO KASI ZAIDI DUNIANI
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Barabara ya mwendo kasi na tabia za uswahili
11 years ago
Michuzi04 Mar
introducing 'MWENDO WA KASI' BY AFANDE SELE
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Nauli mabasi ya mwendo kasi Sh1,200
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya UDA-RT imependekeza nauli kubwa itakayotozwa na mabasi ya mwendo kasi, ambayo imezua malalamiko Mapendekezo hayo yanaonesha kuwa nauli itakuwa Sh 1,200 kwa safari za njia kuu, Sh 700 njia za pembeni na Sh 1,400 njia kuu pamoja na njia ya pembeni, huku wanafunzi wakitakiwa kulipa nusu nauli ya mtu mzima.
Hata hivyo nauli hizo zimepingwa na kwamba mjadala mkali unatarajiwa kuibuka leo, wakati Mamlaka ya Udhibiti,Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...
5 years ago
MichuziMWENDO WA KASI NI BOMU LINALOWAACHIA WATANZANIA UMASIKINI!
Kombo Kessy Mhanga wa ajali picha ya kwanza kabla hajapata ajali,picha inayomuonyesha akiwa amepata ajali na amekatwa miguu yote miwili,picha ya tatu Kombo Kessy akiwa katika picha ya pamoja ma mkewe.
Na Veronica Ignatus."Hivi ninavyozungumza nawe nina Barua inayonipa siku 14 nilipe kodi ya Nyumba Tsh. 170, 000/ au niondoke kwenye nyumba niliyopanga, Nina Mke na watoto watano,Nimechanganyikiwa sijui nifanyaje .. Ajali kutokana na mwendo kasi imeharibu kabisa Maisha yangu." Anasema Kombo...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi Januari 10
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10