Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAPAN YAVUNJA REKODI KWA KUWA NA TRENI YENYE MWENDO KASI ZAIDI DUNIANI

Japan imevunja rekodi hiyo kwa kuwa na treni ya mwendo kasi wa kilomita 590 kwa saa iliyowekwa wiki iliyopita katika jaribio lingine. Treni ya maglev ambayo haitegemei kugusana na chuma ndio itembee bali inaendeshwa kwa nguvu ya umeme, inatumia sumaku zilizochajiwa kwa umeme kunyanyua na kuvuta mabehewa juu ya njia ya reli. Treni ya Kati ya Japan, JR Central, ambayo inamiliki treni hizo, inataka kuanzisha huduma yake kati ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Japan yavunja rekodi treni mwendo kasi

Japan imevunja rekodi ya dunia ya mwendo kasi kwa treni zake ambapo sasa imefikisha mwendo wa kilomita 603 kwa saa

 

10 years ago

Habarileo

Treni ya mwendo kasi yaja

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza usafiri mpya wa reli kwa kutumia treni maarufu za Delux, zitakazofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Kigoma hadi Mwanza, utakaoanza mwezi huu.

 

5 years ago

CCM Blog

MUONEKANO WA STESHENI YA TRENI YA MWENDO KASI SGR DAR ES SALAAM

Mwonekano wa kituo cha treni ya SGR Dar es salaam, ujenzi bado unaendelea

 

5 years ago

Bongo5

The Fate of the Furious yavunja rekodi ya box office duniani, yaingiza $532m

Filamu ya kampuni ya Universal Pictures‘ The Fate of the Furious imevunja rekodi kwakuwa na ufunguzi mkubwa zaidi wa muda wote baada ya kuingiza dola milioni 532 kwenye majumba ya sinema duniani mwishoni mwa wiki.

Kiasi hicho ni $98.8m toka Marekani na Canada $433.2m toka nchi zingine 63 mwishoni mwa wiki. Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Star Wars: The Force Awakens iliyoingiza $529m.

The Fate of the Furious imeifanya Universal ifikishe dola bilioni 1 za makusanyo ya kimataifa ya filamu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Albamu ya Justin Bieber ya 'Changes' yavunja rekodi kuwa namba moja

Albamu ya saba ya Justin Bieber ya 'Changes' imeibuka nambari moja kwenye chati ya Billboard na kupiku rekodi iliyowekwa na Elvis Preseley miaka 59 iliyopita.

 

11 years ago

CloudsFM

TALAKA YENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI

Mmiliki wa club ya timu ya AS Monaco inayocheza ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa Dmitry Rybolovlev ambaye pia anashika nafasi ya 148 katika list ya ma billionea wanaotajwa na Forbes Magazine. Yeye pamoja na aliyekua mke wake Elena wamevunja rekodi ktk historia ya fidia za ndoa zilizowahi kuvunjika duniani.
Hiyo ni baada ya mahakama ya Geneva Switzerland hivi karibuni kumuamuru jamaa amlipe mtalaka wake zaidi ya dola bilioni 4.5
Ndoa hiyo ilidumu kwa miaka 23 na waliingia kwenye mchakato...

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, 33,780 WAMDHAMINI


Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 18, 2015, wakati shukrani kwa udhamini wa kishindo alioupata kutoka wa WanaCCM hao, ili aweze kupata ridhaa ya Chama chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wanaCCM 33,780. Picha Othman Michuzi.Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za wanachama 33,780 wa CCM Mkoa...

 

10 years ago

Vijimambo

KILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, WANACCM 33,780 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za wanachama 33,780 wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, waliomdhani ili aweze kupata ridhaa ya Chama chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Anaekabidhi fomu hizo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini, Loth Ole Nesele.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI


Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 18, 2015, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani