introducing 'MWENDO WA KASI' BY AFANDE SELE
Moja kati ya studio ambayo inafanya vizuri katika utayarishaji wa muziki jijini dar es salaam sinza lego Flexible music imekuja tena na Mfalme wa Rhymes Afande Sele na ngoma yake mpya inayoitwa Mwendo kasi aliyoifanya katika studio hizo. Mwendo kasi ni ngoma ambayo inaelezea ajali mbali mbali zinazotokea barabarani ambazo zinasababishwa na uzembe wa madereva na kusababisha vifo vya wananchi, akiwa amewashrikisha wasanii kutoka mkoani Morogoro Dyna Nyange na Bullet. Pia wimbo huo ambao...
Michuzi