Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara ya mwendo kasi na tabia za uswahili

Jicho la Msafiri kwa leo linataka kutoa maoni kuhusu mradi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi na changamoto za kiutamaduni na za kimfumo ambazo utakapozinduliwa zinaweza kuonyesha kuwa hakuna faida ya ujenzi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Treni ya mwendo kasi yaja

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza usafiri mpya wa reli kwa kutumia treni maarufu za Delux, zitakazofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Kigoma hadi Mwanza, utakaoanza mwezi huu.

 

11 years ago

Michuzi

introducing 'MWENDO WA KASI' BY AFANDE SELE

Moja kati ya studio ambayo inafanya vizuri katika utayarishaji wa muziki jijini dar es salaam sinza lego Flexible music imekuja tena na Mfalme wa Rhymes Afande Sele na ngoma yake mpya inayoitwa Mwendo kasi aliyoifanya katika studio hizo.   Mwendo kasi ni ngoma ambayo inaelezea ajali mbali mbali zinazotokea barabarani ambazo zinasababishwa na uzembe wa madereva na kusababisha vifo vya wananchi, akiwa amewashrikisha wasanii kutoka mkoani Morogoro Dyna Nyange na Bullet.   Pia wimbo huo ambao...

 

9 years ago

Global Publishers

Mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi Januari 10

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na watendaqji mbalimbali wa mradi wa mabasi yaendayo haraka waliofika katika kituo cha Feri cha Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (BRT) leo jijini Dar es Salaam.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akitembelea maeneo mbalimbali ya kituo cha Feri jijini Dar es Salaam leo.    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akipanda basi la mwendo wa haraka mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali katika kituo cha feri leo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Japan yavunja rekodi treni mwendo kasi

Japan imevunja rekodi ya dunia ya mwendo kasi kwa treni zake ambapo sasa imefikisha mwendo wa kilomita 603 kwa saa

 

5 years ago

Michuzi

MWENDO WA KASI NI BOMU LINALOWAACHIA WATANZANIA UMASIKINI!



Kombo Kessy Mhanga wa ajali picha ya kwanza kabla hajapata ajali,picha inayomuonyesha akiwa amepata ajali na amekatwa miguu yote miwili,picha ya tatu Kombo Kessy akiwa katika picha ya pamoja ma mkewe.

Na Veronica Ignatus."Hivi ninavyozungumza nawe nina Barua inayonipa siku 14 nilipe kodi ya Nyumba Tsh. 170, 000/ au niondoke kwenye nyumba niliyopanga, Nina Mke na watoto watano,Nimechanganyikiwa sijui nifanyaje .. Ajali kutokana na mwendo kasi imeharibu  kabisa Maisha yangu." Anasema Kombo...

 

9 years ago

Mtanzania

Nauli mabasi ya mwendo kasi Sh1,200

mwendo kasiNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

KAMPUNI ya UDA-RT imependekeza nauli kubwa itakayotozwa na mabasi ya mwendo kasi, ambayo imezua malalamiko Mapendekezo hayo yanaonesha kuwa nauli itakuwa Sh 1,200 kwa safari za njia kuu, Sh 700 njia za pembeni na Sh 1,400 njia kuu pamoja na njia ya pembeni, huku wanafunzi wakitakiwa kulipa nusu nauli ya mtu mzima.

Hata hivyo nauli hizo zimepingwa na kwamba mjadala mkali unatarajiwa kuibuka leo, wakati Mamlaka ya Udhibiti,Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...

 

5 years ago

CCM Blog

MUONEKANO WA STESHENI YA TRENI YA MWENDO KASI SGR DAR ES SALAAM

Mwonekano wa kituo cha treni ya SGR Dar es salaam, ujenzi bado unaendelea

 

10 years ago

GPL

KAMANDA MPINGA: TOA TAARIFA UKIONA MWENDO KASI WA BASI

Makala: Elvan Stambuli Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga ametoa wito kwa abiria kutoa taarifa waonapo dereva ana mwendo kasi katika basi. Akihojiwa na waandishi wa habari huku akirekodiwa na Global Tv Online ambao watarusha leo kupitia mtandao wa www. Globalpublishers.com, baadhi ya mahojiano hayo yalikuwa hivi: Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani