MABASI YA MWENDO KASI KUANZA KAZI MWEZI DESEMBA JIJINI DAR
![](http://api.ning.com:80/files/pauKaB96wESTIsj1T0bUK1ADrw6tZuukQjmfXnpiiwEigshbEgykrEjXRAAfYSTqh4itLMmgGWuycFzhS66ntvxBATP0re1M/unnamed283329.jpg)
Mabasi ya mwendokasi yatakayofanya kazi eneo la Morogoro Road kuanzia Kimara mpaka Kivukoni jijini Dar es Salaam. Mabasi hayo wakati yanawasili Bandarini jijini Dar. Mkurugenzi mkuu wa wa mradi wa mabasi yaendayo kasi UDA-RT, Bw. Robert Kisena ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kufanya … ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi Januari 10
![](http://4.bp.blogspot.com/-vLCpxRBQ5XE/VnVFu7HMa_I/AAAAAAAINYo/vgUXJFmOqOQ/s640/IMG_8767.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SIE4ue5eUFQ/VnVFu8PikCI/AAAAAAAINYs/Qfsf8nBiy68/s640/IMG_8768.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WAOM7CDKEtY/VnVFwTpnn4I/AAAAAAAINZA/6vI3CL78pWg/s640/IMG_8812.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PYvYb8pDJGw/VnVFv0v8ttI/AAAAAAAINY8/qdhI7fq7Oiw/s640/IMG_8805.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LbZj4d5jXxc/VnVFu3lQHPI/AAAAAAAINYk/Cdo0M0DRgDc/s640/IMG_8794.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bq4YyQ5xxyg/VnVFwsDKMxI/AAAAAAAINZE/RCb5R_3AaZg/s640/IMG_8821.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-BZ4C4kNtkPw/VnVFxPOtlpI/AAAAAAAINZM/kSVuMrLbQ8I/s640/IMG_8822.jpg)
9 years ago
Habarileo17 Aug
Mabasi ya kasi Dar mbioni kuanza kazi
MABASI maalumu kwa ajili ya kutoa huduma chini ya mradi wa mabasi yaendayo haraka yameingia nchini tayari kwa kuanza huduma.
9 years ago
Dewji Blog18 Aug
Waziri Hawa Ghasia azindua mafunzo ya madereva wa mabasi ya mwendo kasi Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam jana asubuhi. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akijaribu kuendesha moja ya...
9 years ago
GPLMABASI YA MWENDO WA HARAKA JIJINI DAR YAZINDULIWA RASMI
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Nauli mabasi ya mwendo kasi Sh1,200
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya UDA-RT imependekeza nauli kubwa itakayotozwa na mabasi ya mwendo kasi, ambayo imezua malalamiko Mapendekezo hayo yanaonesha kuwa nauli itakuwa Sh 1,200 kwa safari za njia kuu, Sh 700 njia za pembeni na Sh 1,400 njia kuu pamoja na njia ya pembeni, huku wanafunzi wakitakiwa kulipa nusu nauli ya mtu mzima.
Hata hivyo nauli hizo zimepingwa na kwamba mjadala mkali unatarajiwa kuibuka leo, wakati Mamlaka ya Udhibiti,Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d1eE7lQ1U**2JDN5DZZ5MVAMLC0FBRqlRqARJRZnB1Pn9FykSLmeQ27aBmxL6aIsdpqB3Of9DBKxRWSiU8C*WY6/2.jpg)
MABASI YAENDAYO KASI YAKIWA KWENYE MAJARIBIO JIJINI DAR
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Waziri Mkuu Majaliwa Kaibuka na hili jingine kwenye mabasi ya mwendo kasi Dar…!(+Audio)
Baada ya siku chache kupita tangia Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kutembelee vituo vya mabasi ya mwendo kasi Dar na kuamuru mabasi hayo kuanza kazi kabla ya Jan 10 2016, leo kaibukana hili lingine. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]
The post Waziri Mkuu Majaliwa Kaibuka na hili jingine kwenye mabasi ya mwendo kasi Dar…!(+Audio) appeared first on...
11 years ago
Michuzi07 Mar
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2Vo2yc47_TA/VdLnAlFXeUI/AAAAAAAHx9Y/rtqGIa06_fo/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Dk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-2Vo2yc47_TA/VdLnAlFXeUI/AAAAAAAHx9Y/rtqGIa06_fo/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qZ9WqkUXq4w/VdLnAyU1vSI/AAAAAAAHx9c/HM4DyE5g_X4/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jsD5bW_xbBs/VdLnBrRAGuI/AAAAAAAHx90/Av0iTdZ1-rU/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10