Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABASI YAENDAYO KASI YAKIWA KWENYE MAJARIBIO JIJINI DAR

Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit -...

 

9 years ago

Mwananchi

Dar imejipangaje usafiri wa mabasi yaendayo kasi?

Serikali juzi ilizindua rasmi mafunzo maalumu ya madereva wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (BRT), ambao unatekelezwa jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa mafunzo hayo ni hatua ya mwisho ya kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huo wa barabara yenye urefu wa kilomita 20.9 kutoka Kimara hadi Kivukoni

 

11 years ago

GPL

MACHINGA AKUTWA AMEFARIKI KWENYE KITUO CHA MABASI YAENDAYO KWA KASI

Marehemu kama vile kalala kumbe ndiyo kafariki. Mmoja wa mashuhuda wa tukio. Mtendaji wa eneo hilo na baadhi ya Wasamaria wakiufunika mwili wa…

 

10 years ago

GPL

DALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik alizumgumza na wamiliki wa UDA na daladala.…

 

9 years ago

MillardAyo

Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam

December 19 2015 Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alifanya ziara nyingine kutazama walikofikia wanaomalizia ujezi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam, tazama hii video hapa chini nimekuwekea kila kitu.

The post Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa mabasi yaendayo kasi wapiga hatua

MRADI wa mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umepiga hatua nyingine baada ya kupatikana kampuni ya washauri, itakayofanya kazi ya kuhakikisha wanapatikana watoa huduma muhimu kwa mradi huo, unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani