Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit -...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI WAENDELA, KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni  jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit - BRT)...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

11 years ago

Michuzi

mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani

Na Frank Mvungi- Maelezo  Serikali inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) Kutoka Kimara mwisho hadi Kivukoni jijini Dar es salaam mwaka 2015 baada ya miundombinu yake kukamilika.   Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) Bw.William Gatambi wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.  Bw. Gatambi alisema kuwa mara baada ya kukamilika kwa miundo mbinu ya mradi huo...

 

11 years ago

Michuzi

updates: Taswira za Maendeleo ya ujenzi wa barabara na vituo vya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam

 Kituo cha Ubungo mwisho kinavyoonekana leo  Ubungo mwisho  Ubungo stendi  Daraja la Manzese bado linadunda Muonekano wa barabara hio kutokea Magomeni Mapipa kwa Macheni

 

9 years ago

Michuzi

Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam

TATIZO la usafiri katika jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua kufuatia kuanza kupindi cha mpito cha mabasi Yaendayo Haraka (BRT) mwezi ujao kufuatia kuwasili kwa mabasi 138 katika Bandari ya Dar es Salaam kutoa China tayari kwa huduma ya usafiri.  Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki aliwaambia waandishi wa habari jana wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo, kuwa wakazi wa Dar es Salaama kwa sasa wataanza kutumia...

 

11 years ago

GPL

MABASI YAENDAYO KASI YAKIWA KWENYE MAJARIBIO JIJINI DAR

Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani