Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI WAENDELA, KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni  jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit - BRT)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit -...

 

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Ndundu-Somanga kukamilika miezi 2

BARABARA ya Ndundu –Somanga iliyojengwa kwa muda mrefu, inatarajiwa kukamilika baada ya miezi miwili ijayo; Bunge limeelezwa.

 

9 years ago

Michuzi

TANAPA YATANGAZA KAMPENI YA MIEZI SITA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI.


Kaimu Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Victor Ketansi akizungumza na wanahabari(hawako pichani) juu ya Kampeni ya uhamasishaji wa utalii wa ndani kwa wazawa itakayodumu kwa muda wa miezi sita.Mkuu wa Idara ya Utali katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akizungumza vivutio mbalimbali vunavyopatikana katika hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.Meneja Mawasiliano Mwandamizi wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Catherine Mbena akiwa na mwandishi wa habari...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa mwaka mmoja afungiwa ndani kwa miezi sita huku akiteswa na kula magodoro Dar

 

SONY DSC

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura.

Katika kile kinachoelezwa kitendo cha kikatili, dhidi ya watoto kushamiri, Mtoto wa mwaka mmoja na miezi sita (jina limehifadhiwa ),anadaiwa kuteswa na mama yake mzazi kwa kipindi cha miezi kumi akiwa amefungiwa ndani huku akila magodoro baada ya kubainika na majirani.

Kwa mujibu wa taarifa ya Neema Brian wa mtandao wa http://sautiyamnyonge.com alibainisha kuwa, Mtoto huyo ambaye amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala, ambaye...

 

9 years ago

Habarileo

Ujenzi wa Mwenge-Morocco kukamilika miezi 6

UJENZI wa Barabara ya Bagamoyo kipande cha kutoka Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam, chenye urefu wa kilometa 4.3, kinatarajia kukamilika ujenzi wake ndani ya miezi sita.

 

11 years ago

Habarileo

Ufinyu wa bajeti wakwamisha barabara ya Kivukoni -Makutano

SERIKALI kwa sasa haina mpango wa kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya kutoka Kivukoni Kinesi -Makutano Kinesi hadi Kuruya katika barabara kuu ya Mwanza hadi Sirari kutokana na ufinyu wa bajeti ya serikali.

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA BARABARA YA KIVUKONI FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEo

 Taswira za barabara ya Kivukoni Drive jijini Dar es salaam inayoendelea kukarabatiwa na kujengwa njia ya mabasi yaendayo haraka. Hapa ni nje ya Mahakama Kuu

 

11 years ago

Michuzi

MATUKIO YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA BARABARA YA KIVUKONI CHA KILOMBERO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akionesha kitu wakati Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( kushoto ) akiangalia eneo la maji lililijaa katika mto  Kilombero mei 5, mwaka huu, wakati Mkuu huyo wa Mkoa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ilipotembelea eneo la Kivukoni kuona madhara ya mafuriko. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, akiwa ndani ya boti kwenye mto Kilombero , mei 5, mwaka huu ,tayari kuanza safari ya kurejea eneo sehemu ya...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva bodaboda jela miezi sita

DEREVA wa Bodaboda, Shaban Hamis (22) amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 100,000 baada ya kusafirisha abiria bila ya kuwa na leseni ya usafirishaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani