Barabara ya Ndundu-Somanga kukamilika miezi 2
BARABARA ya Ndundu –Somanga iliyojengwa kwa muda mrefu, inatarajiwa kukamilika baada ya miezi miwili ijayo; Bunge limeelezwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBARABARA YA NDUNDU SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU WA NOVEMBA
10 years ago
MichuziWaziri Magufuli atangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu-Somanga(Km 60)
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu- Somanga (Km 60) na kuwataka wakazi wa mikoa ya kusini kuitumia vizuri barabara hiyo kuibua fursa za kiuchumi na hivyo kujiletea maendeleo. Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kukamilika kwa ukaguzi wa barabara hiyo uliofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe. “ Wito wangu kwenu wakazi wa mikoa ya kusini ni kuitunza barabara hii ili idumu kwa muda...
10 years ago
GPLWAZIRI MAGUFULI ATANGAZA KUKAMILIKA KWA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA (KM 60)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.…
10 years ago
MichuziKIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IYG2pqSvlMQ/U9Frz5_rHzI/AAAAAAAF52k/23q_aI5WleE/s72-c/unnamed+(4).jpg)
MAGUFULI AKAGUA DARAJA LA NANGOO PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU —SOMANGA, AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUIKAMILISHA
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amempa muda wa miezi miwili mkandarasi anayejenga barabara ya Ndundu-Somanga kufanya kazi usiku na mchana ili kumaliza kazi hiyo haraka bila kutoa visingizio vyovyote. Waziri wa Ujenzi aliitoa kauli hiyo leo katika kijiji cha Manzese, Wilayani Kilwa mkoani Lindi wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika eneo hilo la ujenzi. Aidha, Dkt. Magufuli alisema kuwa mkandarasi huyo ameshalipwa fedha zote alizokuwa ana dai hivyo anachotakiwa ni kufanya...
10 years ago
VijimamboRais Kikwete katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Ndundu-Somanga
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
JK afungua barabara ya Ndundu-Somanga yenye urefu wa Kilometa 60 mkoani Lindi
![](http://2.bp.blogspot.com/-YsMIms-clS4/VcV1kOyYSFI/AAAAAAAHvTk/jvhiacpYsuA/s640/_MG_3181.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YsMIms-clS4/VcV1kOyYSFI/AAAAAAAHvTk/jvhiacpYsuA/s72-c/_MG_3181.jpg)
JK AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60 MKOANI LINDI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YsMIms-clS4/VcV1kOyYSFI/AAAAAAAHvTk/jvhiacpYsuA/s640/_MG_3181.jpg)
10 years ago
Vijimambo18 Jan
Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania