JK afungua barabara ya Ndundu-Somanga yenye urefu wa Kilometa 60 mkoani Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Ndundu – Somanga yenye urefu wa kilomita 60, hafla hiyo imefanyika jana Agosti 7 2015 mkoani Lindi.Wengine pichani ni Balozi wa Kuwait Jassem Ibrahim Al Najem,Mwakilishi wa Mfuko wa Kuwait, Abrahman Al- Hashim,Mkuu wa Mkoa wa Pwan, Eng. Evarist Ndikilo, wengine kushoto ni Waziri wa ujenzi Mhe.John Pombe Magufuli, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Lindi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJK AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60 MKOANI LINDI
10 years ago
MichuziSIMU TV: habari toka vituo vya televisheni - JK azindua nbarabara ya ndundu Somanga mkoani Lindi
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Dk. Magufuli akagua barabara yenye urefu wa km 89, Manyoni-Itigi Mkoani Singida
Na Nathaniel Limu, Itigi
Waziri wa ujenzi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli, amewakumbusha wafanya biashara wanaosafirisha/mizigo kwa kutumia barabara, wahakikishe wanazingatia uzito uliowekwa kisheria, ili barabara zinazojengwa kwa gharama...
11 years ago
Habarileo22 May
Barabara ya Ndundu-Somanga kukamilika miezi 2
BARABARA ya Ndundu –Somanga iliyojengwa kwa muda mrefu, inatarajiwa kukamilika baada ya miezi miwili ijayo; Bunge limeelezwa.
10 years ago
VijimamboBARABARA YA NDUNDU SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU WA NOVEMBA
10 years ago
VijimamboRais Kikwete katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Ndundu-Somanga
10 years ago
GPLWAZIRI MAGUFULI ATANGAZA KUKAMILIKA KWA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA (KM 60)
10 years ago
MichuziWaziri Magufuli atangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu-Somanga(Km 60)
10 years ago
MichuziKIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU