Waziri Magufuli atangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu-Somanga(Km 60)
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu- Somanga (Km 60) na kuwataka wakazi wa mikoa ya kusini kuitumia vizuri barabara hiyo kuibua fursa za kiuchumi na hivyo kujiletea maendeleo. Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kukamilika kwa ukaguzi wa barabara hiyo uliofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe. “ Wito wangu kwenu wakazi wa mikoa ya kusini ni kuitunza barabara hii ili idumu kwa muda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAZIRI MAGUFULI ATANGAZA KUKAMILIKA KWA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA (KM 60)
11 years ago
Habarileo22 May
Barabara ya Ndundu-Somanga kukamilika miezi 2
BARABARA ya Ndundu –Somanga iliyojengwa kwa muda mrefu, inatarajiwa kukamilika baada ya miezi miwili ijayo; Bunge limeelezwa.
10 years ago
VijimamboBARABARA YA NDUNDU SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU WA NOVEMBA
10 years ago
MichuziKIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IYG2pqSvlMQ/U9Frz5_rHzI/AAAAAAAF52k/23q_aI5WleE/s72-c/unnamed+(4).jpg)
MAGUFULI AKAGUA DARAJA LA NANGOO PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU —SOMANGA, AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUIKAMILISHA
10 years ago
VijimamboRais Kikwete katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Ndundu-Somanga
10 years ago
Vijimambo18 Jan
Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YsMIms-clS4/VcV1kOyYSFI/AAAAAAAHvTk/jvhiacpYsuA/s72-c/_MG_3181.jpg)
JK AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60 MKOANI LINDI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YsMIms-clS4/VcV1kOyYSFI/AAAAAAAHvTk/jvhiacpYsuA/s640/_MG_3181.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
JK afungua barabara ya Ndundu-Somanga yenye urefu wa Kilometa 60 mkoani Lindi
![](http://2.bp.blogspot.com/-YsMIms-clS4/VcV1kOyYSFI/AAAAAAAHvTk/jvhiacpYsuA/s640/_MG_3181.jpg)