Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha

Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.Wanahabari wakimhoji Dereva wa basi la abiria kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam kuhusiana na kukamilika kwa sehemu ya barabara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akikagua sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Ukaguzi wa barabara hiyo ukiendelea kama inavyoonekana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK

Na Lorietha Laurence-Maelezo
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...

 

10 years ago

Michuzi

RFB yafanikiwa kufanya maboresha ya barabara kwa kiwango cha lami nchini

unnamed (100)Meneja Mfuko wa Barabara Bw.Joseph Haule akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni alipokuwa akiwasilisha ripoti ya mafanikio ya utekelezaji wa Mfuko wa Barabara kwa  Serikali ya awamu ya nne.unnamed101Naibu Meneja Masuala ya Kiufundi Bw. Ronald Lwakatare kutoka Taasisi ya Mfuko wa Barabara akizungumza na waandishi  wa habari hivi karibuni jijini Dar es Salaam.……………………………Na Lorietha Laurence-MaelezoBodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria ufunguzi wa barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na viongozi wengine wa Wilaya ya Mbarali. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara hiyo. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na viongozi wengine. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini TANROADS Eng. Patrick...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Magufuli atangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu-Somanga(Km 60)

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu- Somanga (Km 60) na kuwataka wakazi wa mikoa ya kusini kuitumia vizuri barabara hiyo kuibua fursa za kiuchumi na hivyo kujiletea maendeleo. Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kukamilika kwa ukaguzi wa barabara hiyo uliofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe. “ Wito wangu kwenu wakazi wa mikoa ya kusini ni kuitunza barabara hii ili idumu kwa muda...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MAGUFULI ATANGAZA KUKAMILIKA KWA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA (KM 60)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.…

 

11 years ago

Habarileo

Kipande cha Ndundu-Somanga kufanyiwa kazi kukwamua raia

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema Serikali inafanya jitihada za kutengeneza maeneo ya barabara ya kwenda mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara, ambayo yameharibika na kusababisha abiria kukwama njiani.

 

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Ndundu-Somanga kukamilika miezi 2

BARABARA ya Ndundu –Somanga iliyojengwa kwa muda mrefu, inatarajiwa kukamilika baada ya miezi miwili ijayo; Bunge limeelezwa.

 

10 years ago

Vijimambo

BARABARA YA NDUNDU SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU WA NOVEMBA

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya kuchanganya cementi na udongo katika baadhi ya maeneo katika kipande hicho cha barabara.Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akiendelea na ukaguzi wa kazi za uchanganyaji wa cement na udongo katika kipande hicho kidogo cha barabara.Kazi za ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi kubwa. Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Ujenzi.Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Ndundu-Somanga

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalamiana na baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe ya ufunguzi wa Barabara ya Ndundu Somanga(picha na Freddy Maro).Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalamiana na baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe ya ufunguzi wa Barabara ya Ndundu SomangaRais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Mwakikushi wa Mfuko wa Kuwaiti Bwana Abdurahman Al Hashim, Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe.Jassem Ibrahim Al Najem wakikata utepe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani