RFB yafanikiwa kufanya maboresha ya barabara kwa kiwango cha lami nchini
Meneja Mfuko wa Barabara Bw.Joseph Haule akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni alipokuwa akiwasilisha ripoti ya mafanikio ya utekelezaji wa Mfuko wa Barabara kwa Serikali ya awamu ya nne.
Naibu Meneja Masuala ya Kiufundi Bw. Ronald Lwakatare kutoka Taasisi ya Mfuko wa Barabara akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni jijini Dar es Salaam.……………………………Na Lorietha Laurence-MaelezoBodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresha ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wIRZ0ShKv5A/Vcr1EgiZtuI/AAAAAAAHwJw/0P5CeeeKh6Q/s72-c/Open-Road-TanzaniaWM.jpg)
RFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK
![](http://2.bp.blogspot.com/-wIRZ0ShKv5A/Vcr1EgiZtuI/AAAAAAAHwJw/0P5CeeeKh6Q/s400/Open-Road-TanzaniaWM.jpg)
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...
10 years ago
Vijimambo18 Jan
Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha
10 years ago
VijimamboWaziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
10 years ago
Vijimambo01 Feb
BARABARA YA IGAWA — UBARUKU KUJENGWA KWA LAMI.
![](http://api.ning.com/files/g3sZFdca7afLjIAquE4x3*7dnE2Ri49dxs*nJx01MmyvQzrztWlT9tX0abtijUNuH4wYaM69jcu7HoaODXRMwcHk7Lx0xmgV/WAZIRIMAGUFULI.jpg?width=650)
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (pichani) amesema serikali itajenga barabara ya Igawa hadi Ubaruku KM 18 kwa kiwango cha lami ili kuinua fursa za uchumi za wilaya ya Mbarali na kuwezesha magari makubwa kupita kwa urahisi kufuata mazao katika eneo hilo.Waziri Dkt. Magufuli amesema hayo katika ziara yake inayoendelea mkoani Mbeya ambapo leo ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya igawa-ubaruku yenye urefu wa KM 18 na kusisitiza barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa mkoa wa...
11 years ago
MichuziDkt. Magufuli asema Wilaya ya Nyasa - Mbinga kuunganishwa kwa kwa Barabara ya Lami
Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana alipokuwa anahutubia mamia ya Wakazi wa Nyasa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa miguu Mbamba bay, mara baada ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kiwete kufungua Madaraja pacha ya Ruhekei A, B na C yaliyogharimu kiasi cha Tsh....
5 years ago
MichuziBilioni 18 .62 Zanga’risha Kigoma kwa Barabara za Lami
Muonekano wa moja ya barabara za Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kujengwa kwa kiwango cha lami kama ilivyokutwa Machi 29, 2020.(Picha zote na Aboubakari Kafumba MAELEZO- Kigoma).
Mzunguko wa barabara eneo la Mwanga Sokoni Manispaa ya Kigoma Ujiji kama ulivyokutwa baada ya kuimarishwa kwa miundombinu ya barabara katika Manispaa hiyo ikiwemo kuwekwa kwa taa za barabarani, maeneo ya waenda kwa miguu na ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 12 kwa kiwango cha lami.
9 years ago
MichuziTUZO ZA MAKAMPUNI 100 YA KIWANGO CHA KATI NCHINI KUTOLEWA NCHINI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JCM-2Ls66n8/XvZBKJ9OxII/AAAAAAALvnQ/KR0ZgmP2VvcRT54WUvrL47ZIltQq-ildQCLcBGAsYHQ/s72-c/img_0532.jpg)
Tanzania Yafanikiwa Kupunguza Uingizaji wa Dawa za Kulevya Nchini kwa 90%.
![](https://1.bp.blogspot.com/-JCM-2Ls66n8/XvZBKJ9OxII/AAAAAAALvnQ/KR0ZgmP2VvcRT54WUvrL47ZIltQq-ildQCLcBGAsYHQ/s400/img_0532.jpg)
Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya nchini.
Akizungumza leo jijini Dodoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama alisema kuwa tatizo la dawa za kulevya katika jamii ni suala...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4LhompkmrQY/Xu8pCx6e8kI/AAAAAAALuzw/Vzxt0kFCBLQKs7aTB97f03cncgvnip4uwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-21%2Bat%2B11.43.04%2BAM.jpeg)
MKOA WA MOROGORO KUUNGANISHWA NA MKOA WA NJOMBE NA RUVUMA KWA BARABARA ZA LAMI
NAIBU Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, amesema sasa Serikali iko katika hatua za kuunganisha mkoa wa Morogoro na mikoa jirani ya Njombe na Ruvuma kwa barabara ya lami ili kufungua mikoa hiyo yenye uzalishaji mwingi wa mazao, misitu na chakula.
Amezungumza hayo akiwa katika eneo la Kisegesa iliyopo katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro baada ya kukagua eneo lililokarabatiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS), ambalo lilipata athari kubwa za mvua...