Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Yafanikiwa Kupunguza Uingizaji wa Dawa za Kulevya Nchini kwa 90%.

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya nchini.

Akizungumza leo jijini Dodoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama alisema kuwa tatizo la dawa za kulevya katika jamii ni suala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tumefanikiwa kudhibiti uingizaji dawa za kulevya’

MKUU wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Godfrey Nzowa amesema mawasiliano baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yamefanikisha kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya hapa nchini....

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Jamii yatakiwa kupunguza dawa za kulevya

JAMII imetakiwa kupambana na kupunguza matumizi ya dawa za kulevya, ambazo zimekuwa zikiathiri nguvu kazi kwa vijana.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yafanikiwa kufanikisha lengo la kupunguza vifo vya watoto - JK

Rais Dkt Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano kuhusu afya ya Mama na Mtoto unaofanyika mjini Toronto, Canada. Waziri Mkuu wa Canada Mhe. Stephen Harper akimpongeza Rais Kikwete baada ya hotuba yake

 

10 years ago

Michuzi

YES Tanzania yaanzisha darasa kwa walioathirika na dawa za kulevya

Katibu wa Shirika la YES Tanzania Lusajo Mwamakura akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya mara baada ya kuanza kutolewa elimu kwa vijana hao ambao wengi wao wanatoka katikati ya mji wa Moshi.Mwenyekiti wa Shirika la YES Tanzania,Laurance Mwonyony akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya hawapo pichani.(kulia) kwake ni mweka hazina wa shirika hilo John Mmbando.Baadhi ya vijana walioathirika na dawa za kulevya wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na walimu,(hawapo...

 

10 years ago

Michuzi

MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUDHIBITI UINGIZAJI WA BIDHAA HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akiwafafanulia jambo maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya nchini Marekani katika mkutano wao uliofanyika jijini Washington DC katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao maafisa hao wa Marekani wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti...

 

11 years ago

Michuzi

TACAIDS yathibitisha upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (RAVs) nchini

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii Margreth Sitta, akizungumza na wahabahari baada ya ufunguzi wa mkutano.

 Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho (kulia) akiwa na washiriki wenzake wa mkutano huo wakifuatilia uwasilishwaji wa mada. Mjumbe wa Chama cha Ukimwi Ulimwenguni na Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (kushoto) akifuatilia mkutano wa wadau wa Ukimwi kujadili matumizi sahihi ya rasilimali katika kupambana na Ukimwi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) yafuta usajili wa dawa aina Tano za binadamu - Tanzania

Mamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) - TFDA Bwana H. Sillo
Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA imefuta usajili wa dawa za binadamu aina Tano na kuamuru ziondolewe sokoni na vituo vyote vya kutolea huduma za afya mchini kote mara moja kutokana na kubainika kuwa na viambata vinavyosababisha maradhi sugu ikiwemo kiharusi, na wakati mwingine kusababisha vifo.
Dawa zinazotajwa kufutiwa usajiri na kuzuia uingizwaji kuwa ni pamoja na dawa za kutibu maralia ya maji na vidonge aina ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani