Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKOA WA MOROGORO KUUNGANISHWA NA MKOA WA NJOMBE NA RUVUMA KWA BARABARA ZA LAMI

 Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, amesema sasa Serikali iko katika hatua za kuunganisha mkoa wa Morogoro na mikoa jirani ya Njombe na Ruvuma kwa barabara ya lami ili kufungua mikoa hiyo yenye uzalishaji mwingi wa mazao, misitu na chakula.

Amezungumza hayo akiwa katika eneo la Kisegesa iliyopo katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro baada ya kukagua eneo lililokarabatiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS), ambalo lilipata athari kubwa za mvua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli asema Wilaya ya Nyasa - Mbinga kuunganishwa kwa kwa Barabara ya Lami

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli, (Mb) amesema kuwa Serikali itajenga barabara kwa kiwango cha lami kuunganisha Wilaya ya Mbinga hadi Mbamba bay Wilaya mpya ya Nyasa itakayokuwa na urefu wa Kilometa 67.
Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana alipokuwa anahutubia mamia ya Wakazi wa Nyasa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa miguu Mbamba bay, mara baada ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kiwete kufungua Madaraja pacha ya Ruhekei A, B na C yaliyogharimu kiasi cha Tsh....

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA MKOA WA NJOMBE,RUVUMA NA IRINGA,WANACCM WAENDELEA KUONESHA IMANI NAYE

Mwigulu Nchemba akizungumza na WanaCCM waliojitokeza kumdhamini Mkoani Iringa.Kubwa ameendelea kusisitiza kuwa awamu ya tano ni awamu ya Kufanya mabadiliko kwa Vitendo kwenye Utendaji kazi,Kukomesha mazoea kwenye Utumishi wa Umma.Mwigulu Nchemba akisaini kitabu kuthibitisha kuwa amefika Mkoani Iringa kwaajili ya kutafuta wadhamini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wadhamini wake kuelekea Safari ya Urais Mwaka 2015 kuwania kuteuliwa ndani ya CCM awezekupeperusha Bendera ya Chama.Mwigulu Nchemba...

 

11 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AIBUKIA MKOA WA NJOMBE, ASISITIZA BARABARA ZA KWENDA LIGANGA ZIKAMILIKE NDANI YA MUDA ULIOPANGWA

Leo Waziri wa Ujenai Dkt. John Pombe Magufuli kama ilivyokuwa kwa  amesisitiza Makandarasi wanaojenga barabara za kwenda Liganga kwenye makaa ya mawe zikamilike ndani ya muda uliopangwa na kuheshimu matakwa ya Mkataba na kwamba kusiwepo na kisingizio cha kuwa wao ni wakandarasi wazalendo. Alisisitiza barabara hizo zinatakiwa zikamilike mapema tayari kwa kupitisha mitambo yenye uzito wa tani 150 itayaosafirishwa kwenda Liganga.  Aidha, Dkt.Magufuli akiongea na Wafanyakazi wa TANROADS, TEMESA...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila makazi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya kutokea kwa mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WAKULIMA WA MELELA, MOROGORO WAFUNGA BARABARA KUSHINIKISHA KUKUTANA NA MKUU WA MKOA WAO

Mabomu ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende kusuluhisha mgogoro uliopo baina yao na wafugaji. 
Wakulima hao ambao wanalima katika Mashamba yaliopo eneo la Mkangazi,Wilayani Mvomero,walilazimika kufunga barabara hiyo ili iwe shinikizo la kufika kwa Mkuu huyo wa Mkoa na kuwasikiliza ikiwezekana kutatua kabisa tatizo lao.
Wakulima hao...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

SIKU YA UKIMWI DUNIANI; MKOA WA NJOMBE BADO UNAONGOZA KWA MAAMBUKIZI

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma Mrisho akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani isemayo, Tanzania Bila Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo Vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na Unyanyapaa inawezekana inayolenga kupunguza maambukizi Mapya ya Ukimwi, kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kukomesha vitendo vya unyanyapaa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani