Dkt. Magufuli asema Wilaya ya Nyasa - Mbinga kuunganishwa kwa kwa Barabara ya Lami
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli, (Mb) amesema kuwa Serikali itajenga barabara kwa kiwango cha lami kuunganisha Wilaya ya Mbinga hadi Mbamba bay Wilaya mpya ya Nyasa itakayokuwa na urefu wa Kilometa 67.
Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana alipokuwa anahutubia mamia ya Wakazi wa Nyasa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa miguu Mbamba bay, mara baada ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kiwete kufungua Madaraja pacha ya Ruhekei A, B na C yaliyogharimu kiasi cha Tsh....
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMKOA WA MOROGORO KUUNGANISHWA NA MKOA WA NJOMBE NA RUVUMA KWA BARABARA ZA LAMI
NAIBU Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, amesema sasa Serikali iko katika hatua za kuunganisha mkoa wa Morogoro na mikoa jirani ya Njombe na Ruvuma kwa barabara ya lami ili kufungua mikoa hiyo yenye uzalishaji mwingi wa mazao, misitu na chakula.
Amezungumza hayo akiwa katika eneo la Kisegesa iliyopo katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro baada ya kukagua eneo lililokarabatiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS), ambalo lilipata athari kubwa za mvua...
10 years ago
VijimamboWaziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo01 Feb
BARABARA YA IGAWA — UBARUKU KUJENGWA KWA LAMI.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (pichani) amesema serikali itajenga barabara ya Igawa hadi Ubaruku KM 18 kwa kiwango cha lami ili kuinua fursa za uchumi za wilaya ya Mbarali na kuwezesha magari makubwa kupita kwa urahisi kufuata mazao katika eneo hilo.Waziri Dkt. Magufuli amesema hayo katika ziara yake inayoendelea mkoani Mbeya ambapo leo ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya igawa-ubaruku yenye urefu wa KM 18 na kusisitiza barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa mkoa wa...
5 years ago
MichuziBilioni 18 .62 Zanga’risha Kigoma kwa Barabara za Lami
Muonekano wa moja ya barabara za Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kujengwa kwa kiwango cha lami kama ilivyokutwa Machi 29, 2020.(Picha zote na Aboubakari Kafumba MAELEZO- Kigoma).
Mzunguko wa barabara eneo la Mwanga Sokoni Manispaa ya Kigoma Ujiji kama ulivyokutwa baada ya kuimarishwa kwa miundombinu ya barabara katika Manispaa hiyo ikiwemo kuwekwa kwa taa za barabarani, maeneo ya waenda kwa miguu na ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 12 kwa kiwango cha lami.
Barabara...
5 years ago
MichuziWAKULIMA WILAYA YA IKUNGI WAMPONGEZA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI KWA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI
Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa.
Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa.
Meneja wa Benki ya NMB,...
10 years ago
Michuzi12 Aug
RFB yafanikiwa kufanya maboresha ya barabara kwa kiwango cha lami nchini