BARABARA YA IGAWA — UBARUKU KUJENGWA KWA LAMI.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (pichani) amesema serikali itajenga barabara ya Igawa hadi Ubaruku KM 18 kwa kiwango cha lami ili kuinua fursa za uchumi za wilaya ya Mbarali na kuwezesha magari makubwa kupita kwa urahisi kufuata mazao katika eneo hilo.Waziri Dkt. Magufuli amesema hayo katika ziara yake inayoendelea mkoani Mbeya ambapo leo ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya igawa-ubaruku yenye urefu wa KM 18 na kusisitiza barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa mkoa wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWaziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Sinza kujengwa barabara za lami
MEYA wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, amesema Kata ya Sinza inatarajiwa kuwa na mfumo wa barabara za kiwango cha lami za kisasa zitakazowekwa kutokana na vyanzo vya fedha za ndani na...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Barabara zaidi za lami kujengwa kuokoa muda, fedha
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali itaendelea na jitihada za ujenzi wa barabara za lami, kupanua shughuli za kiuchumi na kuendeleza dhana ya maisha bora kwa kila Mtanzania.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-liyv1ZFUVqc/XnihoC7_mDI/AAAAAAALkxU/QAfq7-iCdMAGJICMBSgAObq7a0ZiWcr1QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Kilomita 39 za Barabara za Lami Zaanza Kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma
Akizungumza leo Machi 20, 2020 katika mahojiano maalum, Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshack Bandawe amesema kuwa ujenzi huo unahusisha barabara zenye urefu wa kilomita 39 ndani ya mji huo.
“Serikali inaimarisha miundombinu ndani ya mji wa Serikali ikiwemo ujenzi wa barabara za njia mbili zenye urefu...
11 years ago
MichuziDkt. Magufuli asema Wilaya ya Nyasa - Mbinga kuunganishwa kwa kwa Barabara ya Lami
Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana alipokuwa anahutubia mamia ya Wakazi wa Nyasa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa miguu Mbamba bay, mara baada ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kiwete kufungua Madaraja pacha ya Ruhekei A, B na C yaliyogharimu kiasi cha Tsh....
5 years ago
MichuziBilioni 18 .62 Zanga’risha Kigoma kwa Barabara za Lami
Muonekano wa moja ya barabara za Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kujengwa kwa kiwango cha lami kama ilivyokutwa Machi 29, 2020.(Picha zote na Aboubakari Kafumba MAELEZO- Kigoma).
Mzunguko wa barabara eneo la Mwanga Sokoni Manispaa ya Kigoma Ujiji kama ulivyokutwa baada ya kuimarishwa kwa miundombinu ya barabara katika Manispaa hiyo ikiwemo kuwekwa kwa taa za barabarani, maeneo ya waenda kwa miguu na ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 12 kwa kiwango cha lami.
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI AFUNGUA BARABARA YA IGAWA-RUJEWA KM 9.8
10 years ago
Michuzi12 Aug
RFB yafanikiwa kufanya maboresha ya barabara kwa kiwango cha lami nchini
![unnamed (100)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/unnamed-100.jpg)
![unnamed101](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/unnamed101.jpg)
5 years ago
MichuziWANANCHI KIJIJI CHA IGAWA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAM
WANANCHI wa Kijiji cha Igawa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuboresha miundombinu ya barabara hatua inayolenga kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Idara ya Habari (MAELEZO) hivi karibuni Kijijini hapo, wananchi hao walisema udhubutu uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kutekeleza miradi mikubwa ya...