WANANCHI KIJIJI CHA IGAWA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Na Mwandishi Wetu,MAELEZO-DAR ES SALAAM
WANANCHI wa Kijiji cha Igawa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuboresha miundombinu ya barabara hatua inayolenga kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Idara ya Habari (MAELEZO) hivi karibuni Kijijini hapo, wananchi hao walisema udhubutu uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kutekeleza miradi mikubwa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
9 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboWaziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI
RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...
5 years ago
CCM Blog9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA.
5 years ago
MichuziWANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA BARABARA KWAKUTUMIA ZANA ZA MIKONO WILAYANI LUDEWA
Na Amiri kilagalila,NjombeWANANCHI wa kijiji na kata ya Ibumi wilayani Ludewa mkoa wa Njombe wamejitokeza kwa wingi wakiwa na zana za mikono kwenda kurekebisha barabara ya kutoka Ibumi kuelekea Ludewa mjini.
Barabara hiyo inayounganisha kata za Ibumi na Ludewa imeharibika zaidi katika eneo la mlima Nyamikuyu na eneo la mto ketewaka na madenge hasa katika kipindi hiki cha masika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Zoezi la harambee ya kurekebisha barabara hiyo kwa kutumia majembe,...
10 years ago
Vijimambo01 Feb
BARABARA YA IGAWA — UBARUKU KUJENGWA KWA LAMI.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (pichani) amesema serikali itajenga barabara ya Igawa hadi Ubaruku KM 18 kwa kiwango cha lami ili kuinua fursa za uchumi za wilaya ya Mbarali na kuwezesha magari makubwa kupita kwa urahisi kufuata mazao katika eneo hilo.Waziri Dkt. Magufuli amesema hayo katika ziara yake inayoendelea mkoani Mbeya ambapo leo ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya igawa-ubaruku yenye urefu wa KM 18 na kusisitiza barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa mkoa wa...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI AFUNGUA BARABARA YA IGAWA-RUJEWA KM 9.8