Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sinza kujengwa barabara za lami

MEYA wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, amesema Kata ya Sinza inatarajiwa kuwa na mfumo wa barabara za kiwango cha lami za kisasa zitakazowekwa kutokana na vyanzo vya fedha za ndani na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BARABARA YA IGAWA — UBARUKU KUJENGWA KWA LAMI.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (pichani) amesema serikali itajenga barabara ya Igawa hadi Ubaruku KM 18 kwa kiwango cha lami ili kuinua fursa za uchumi za wilaya ya Mbarali na kuwezesha magari makubwa kupita kwa urahisi kufuata mazao katika eneo hilo.Waziri Dkt. Magufuli amesema hayo katika ziara yake inayoendelea mkoani Mbeya ambapo leo ameweka jiwe la msingi  ujenzi wa barabara ya igawa-ubaruku  yenye urefu wa KM 18 na kusisitiza barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa mkoa wa...

 

10 years ago

Habarileo

Barabara zaidi za lami kujengwa kuokoa muda, fedha

RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali itaendelea na jitihada za ujenzi wa barabara za lami, kupanua shughuli za kiuchumi na kuendeleza dhana ya maisha bora kwa kila Mtanzania.

 

5 years ago

Michuzi

Kilomita 39 za Barabara za Lami Zaanza Kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma

Ujenzi wa barabara za lami katika mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma  waanza kwa kasi ili kuimarisha mawasiliano na huduma kwa wananchi.
Akizungumza leo Machi 20, 2020 katika mahojiano maalum, Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshack  Bandawe amesema kuwa ujenzi huo  unahusisha barabara zenye urefu wa kilomita 39 ndani ya mji huo.
 “Serikali inaimarisha miundombinu ndani ya mji wa Serikali ikiwemo ujenzi wa barabara  za njia mbili zenye urefu...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria ufunguzi wa barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na viongozi wengine wa Wilaya ya Mbarali. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara hiyo. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na viongozi wengine. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini TANROADS Eng. Patrick...

 

10 years ago

Habarileo

‘Barabara za lami zafikia asilimia 58’

SERIKALI imejenga barabara nchini kwa kiwango cha lami kwa asilimia 58. Pia, zipo barabara 11,154 zilizo katika viwango mbalimbali vya ujenzi kwa kiwango hicho cha lami katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tandahimba walilia barabara ya lami

ABIRIA wanaotumia barabara itokayo Mtwara kwenda Tandahimba na Newala wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuitengeneza kwa kiwango cha lami licha ya kusafirisha korosho wakati wa mavuno. Akizungumza na Tanzania Daima, Halima...

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMAIRINGA NA MBEYA KUNUFAIKA NA BARABARA ZA LAMI


Na. Geofrey A.Kazaula

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA unaendelea na mpango wake wa kujenga barabara za lami kupitia mradi wa Agri-Conect ili kuhakikisha wakulima wanaweza kusafirisha mazao yao kwa urahisi kutoka mashambani hadi viwandani na sokoni.

Mradi huo wa Agri–Conect unaotekelezwa katika Mikoa ya Mbeya na Iringa umepokelewa kwa shangwe na wananchi wa maeneo hayo nakueleza kuwa wanaona kama ndoto kujengewa barabara za lami na kwamba kupitia barabara hizo watajikomboa...

 

10 years ago

GPL

WIZI MTUPU BARABARA YA LAMI TABATA

Sehemu ya barabara hiyo ilivyoharibika. WAKAZI na watumiaji wa barabara ya lami iendayo Chuo cha Ualimu cha St Mary kulichopo Tabata, jijini Dar es Salaam inalalamikiwa kwa kujengwa chini ya kiwango. Wakizungumza na GPL wakazi hao walisema: “Huu ni uchakachuaji uliopitiliza, haiwezekani barabara ijengwe Mei mwaka jana sasa hivi iwe imeharibika kiasi hiki, huu… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mwisho wa lami barabara ya Kondoa-Babati

 Hapa ni mwisho wa lami katika barabara kuu ya kutoka Kondoa  mkoani Dodoma kuelekea Babati mkoani Manyara. Tayari ujenzi wa barabara ya lami kutoka Kondoa hadi hapa mwisho wa lami umeshaanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani