Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwisho wa lami barabara ya Kondoa-Babati

 Hapa ni mwisho wa lami katika barabara kuu ya kutoka Kondoa  mkoani Dodoma kuelekea Babati mkoani Manyara. Tayari ujenzi wa barabara ya lami kutoka Kondoa hadi hapa mwisho wa lami umeshaanza.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NYUMBA INAUZWA GONGO LA MBOTO MWISHO WA LAMI

Nyumba inauzwa iko, Gongo la Mboto mwisho wa Lawi, Mita 50 kutoka barabara kuu, Gari inafika mpaka mlangoni bila matatizo yeyote, Nyumba ina vymba vitatu, kimoja master bedroom, Inajiko, dinning na sebure kubwa na uwa mkubwa Nyumba ina Umeme na Ac 2, Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715 001 975 au 0787 999 774 Muonekano wa mbele wa nyumba hiyo... Muonekano wa mpaka wa nyumba hiyo. Nguzo ya umeme...ambayo ipo katika ukuta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tandahimba walilia barabara ya lami

ABIRIA wanaotumia barabara itokayo Mtwara kwenda Tandahimba na Newala wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuitengeneza kwa kiwango cha lami licha ya kusafirisha korosho wakati wa mavuno. Akizungumza na Tanzania Daima, Halima...

 

10 years ago

Habarileo

‘Barabara za lami zafikia asilimia 58’

SERIKALI imejenga barabara nchini kwa kiwango cha lami kwa asilimia 58. Pia, zipo barabara 11,154 zilizo katika viwango mbalimbali vya ujenzi kwa kiwango hicho cha lami katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sinza kujengwa barabara za lami

MEYA wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, amesema Kata ya Sinza inatarajiwa kuwa na mfumo wa barabara za kiwango cha lami za kisasa zitakazowekwa kutokana na vyanzo vya fedha za ndani na...

 

10 years ago

GPL

WIZI MTUPU BARABARA YA LAMI TABATA

Sehemu ya barabara hiyo ilivyoharibika. WAKAZI na watumiaji wa barabara ya lami iendayo Chuo cha Ualimu cha St Mary kulichopo Tabata, jijini Dar es Salaam inalalamikiwa kwa kujengwa chini ya kiwango. Wakizungumza na GPL wakazi hao walisema: “Huu ni uchakachuaji uliopitiliza, haiwezekani barabara ijengwe Mei mwaka jana sasa hivi iwe imeharibika kiasi hiki, huu… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yaahidi barabara za lami pembezoni

WIZARA ya Ujenzi imeanza kutekeleza mpango wa kujenga barabara kwa kiwango cha lami zilizopo pembezoni mwa mji ili kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Habarileo

Barabara ya Ifakara - Mlimba kuwekwa lami

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey ZambiNAIBU Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi alisema Serikali imedhamiria kujenga barabara ya Ifakara - Mlimba katika kiwango cha lami kutokana na umuhimu wake wa uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Zitto aahidi barabara za lami Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kama wananchi wakiwachagua wagombea wa ubunge katika majimbo manane wa mkoa wa Kigoma kutoka chama hicho, watahakikisha barabara kutoka mji wa Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 340 inajengwa kwa kiwango cha lami.

 

10 years ago

Habarileo

Dumila, Rudewa wapata barabara ya lami

BARABARA ya lami kutoka Dumila hadi Rudewa katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, yenye urefu wa kilometa 45, inayojegwa kwa gharama ya fedha za ndani Sh bilioni 48.6.9, imezinduliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani