Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYUMBA INAUZWA GONGO LA MBOTO MWISHO WA LAMI

Nyumba inauzwa iko, Gongo la Mboto mwisho wa Lawi, Mita 50 kutoka barabara kuu, Gari inafika mpaka mlangoni bila matatizo yeyote, Nyumba ina vymba vitatu, kimoja master bedroom, Inajiko, dinning na sebure kubwa na uwa mkubwa Nyumba ina Umeme na Ac 2, Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715 001 975 au 0787 999 774 Muonekano wa mbele wa nyumba hiyo... Muonekano wa mpaka wa nyumba hiyo. Nguzo ya umeme...ambayo ipo katika ukuta.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick.Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari...

 

10 years ago

Michuzi

JK AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto, Dar es Salaam

jw1

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick,

jw2

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA TAWI GONGO LA MBOTO

Benki ya NMB leo imefungua tawi jipya maeneo ya Gongo la mboto- Dar es Salaam tawi linalokadiriwa kuhudumia zaidi ya wateja 300 kwa siku. Tawi hili lipo karibu na kituo cha dala dala cha Mzambarauni mkabala na kituo cha mafuta Oil com.
Tawi hili linatoa huduma kwa wakazi wa Chanika,Pugu,Majohe,Kitunda,Mongo la ndege na maeneo yote ya karibu.Vile vile huduma zote za kibenki zinapatikana katika tawi hili zikiwamo ufunguzi wa akaunti mbali mbali,Huduma za mikopo pamoja na huduma za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanajeshi mabomu ya Gongo la mboto wakumbusha fidia

WANAJESHI 82 wa Kambi ya 511 ya Kikosi cha Jeshi waliopoteza mali zao binafsi katika tukio la mlipuko wa mabomu Gongo la Mboto, Dar es Salaam, wameiomba Wizara ya Ulinzi...

 

10 years ago

GPL

HELIKOPTA YAANGUKA GONGO LA MBOTO JIJINI DAR

Muonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka. Helikopta imeanguka leo eneo la Gongo la mboto Moshi Bar jijini Dar, polisi hawajatoa taarifa kama kuna majeruhi…

 

9 years ago

GPL

LOWASSA APANDA DALADALA KWENDA GONGO LA MBOTO, DAR

Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Mh Edward Lowassa akiwa kwenye daladala kuangalia kero za wananchi maeneo ya Gongo la mboto kuelekea Chanika jijini Dar es Salaam leo. Akiongea na wananchi.…

 

10 years ago

GPL

MEYA JERRY SLAA AIZAWADIA PIKIPIKI TIMU GONGO LA MBOTO

Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki lililoandaliwa na Lucas Lutanilwa. Mgeni rasmi wa mpambano wa fainali kugombea pikipiki Gongo la Mboto, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa (mwenye miwani) akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa kombe la pikipiki timu ya Mazombi FC...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani