JK AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Rais Kikwete azindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto, Dar es Salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick,
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana...
10 years ago
Vijimambo10 Jan
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GOGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO


10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO


11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Wanajeshi mabomu ya Gongo la mboto wakumbusha fidia
WANAJESHI 82 wa Kambi ya 511 ya Kikosi cha Jeshi waliopoteza mali zao binafsi katika tukio la mlipuko wa mabomu Gongo la Mboto, Dar es Salaam, wameiomba Wizara ya Ulinzi...
11 years ago
MichuziNYUMBA INAUZWA GONGO LA MBOTO MWISHO WA LAMI
10 years ago
Michuzi
LOWASSA APANDA DALADALA KUTOKA GONGO LA MBOTO MPAKA PUGU KAJIUNGENI JIJINI DAR LEO

10 years ago
GPL
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPL
HELIKOPTA YAANGUKA GONGO LA MBOTO JIJINI DAR
10 years ago
GPL
LOWASSA APANDA DALADALA KWENDA GONGO LA MBOTO, DAR