Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKULIMA WILAYA YA IKUNGI WAMPONGEZA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI KWA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akizungumza kuhusu malipo ya wakulima wa Kata ya Iglanson kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani. Afisa Ushirika wa Wilaya ya Ikungi, Gurisha Nsemo akizungumza na Wakulima wa Kata ya Iglanson wakati wa malipo hayo. Mkulima, Isack Shango,  akimshukuru Rais Magufuli kwa niaba ya wenzake.  Mkulima, Magreth Magamba, akizungumza. 

 Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa. 

  Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa. 

 Meneja wa Benki ya NMB,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAKULIMA WILAYA YA IKUNGI WAMPONGEZA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI…!

 1Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akizungumza kuhusu malipo ya wakulima wa Kata ya Iglanson kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.2 Afisa Ushirika wa Wilaya ya Ikungi, Gurisha Nsemo akizungumza na Wakulima wa Kata ya Iglanson wakati wa malipo hayo.

vlcsnap-2020-05-27-15h10m19s748 Mkulima, Isack Shango,  akimshukuru Rais Magufuli kwa niaba ya wenzake.

vlcsnap-2020-05-27-15h11m55s710  Mkulima, Magreth Magamba, akizungumza. 


vlcsnap-2020-05-27-15h12m55s580 Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa. 


vlcsnap-2020-05-27-15h13m35s228  Wakulima wa Kata ya Iglanson wakisubiri kulipwa. 


vlcsnap-2020-05-27-15h17m45s705 Meneja wa Benki ya NMB,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa waache kuchanganya wakulima mfumo wa stakabadhi ghalani

UONGOZI imara wa Vyama vya Ushirika umewezesha ufanisi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani katika maeneo yanayolima kahawa mkoani Kilimanjaro, lakini wanasiasa ni changamoto katika hilo kwa kuwa wanatumia majukwaa kupanga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Mfumo wa stakabadhi ghalani ubadilishwe’

BAADHI ya wakulima wa korosho nchini, wameiomba serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, kuufanyia mabadiliko makubwa mfumo wa stakabadhi ghalani, ili kumwezesha mkulima kunufaika na zao hilo. Wakizungumza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Mfumo stakabadhi ghalani haulazimishi kukopa’

MKURUGENZI wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Mfaume Juma, amesema kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani haumlazimishi mkulima kukopa fedha benki kabla ya kuuza korosho zake. Kauli hiyo, aliitoa juzi katika...

 

5 years ago

Michuzi

MFUMO WA STAKABADHI GHALANI UNAKWENDA KUMNUFAISHA MKULIMA WA UFUTA -RC NDIKILO

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
MKOA wa Pwani, umekemea wakulima wa ufuta waliofanya udanganyifu  msimu wa ununuzi uliopita kwa kuchanganya ufuta na mchanga, kwani umesababisha doa kwenye soko hivyo kwasasa mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani ,ambao utadhibiti udanganyifu na kuinua pato la mkulima.
Aidha minada ya ununuzi wa ufuta mwaka huu yatafanyika kupitia mfumo huo na kwa njia ya kielektroniki kupitia soko la bidhaa Tanzania (TMX).
Akifungua kikao cha kujadili maandalizi ya msimu wa...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitangaza msimamo wa serikali kuhusu Mazao yatakayouzwa kwa mfumo wa Stakabadhi Ghalani ofisini kwake Jijini Dodoma juzi tarehe 30 Mei 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)


Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.
Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI I


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitangaza msimamo wa serikali kuhusu Mazao yatakayouzwa kwa mfumo wa Stakabadhi Ghalani ofisini kwake Jijini Dodoma juzi tarehe 30 Mei 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)



Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma

Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.

Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Ireland Mhe. Michael D. Higgins ampongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais


 SALAMU ZA PONGEZI
Rais wa Ireland, Mheshimiwa Michael D. Higgins amemtumia Salamu za Pongezi  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Salamu zake hizo, Rais Higgins amesema Ireland na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri na wa kirafiki kwa miaka mingi, hivyo ana matarajio kwamba katika kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli, uhusiano huo utaimarishwa zaidi.


“Ireland na Tanzania zimekuwa na mipango ya maendeleo na...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti :...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani