Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufinyu wa bajeti wakwamisha barabara ya Kivukoni -Makutano

SERIKALI kwa sasa haina mpango wa kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya kutoka Kivukoni Kinesi -Makutano Kinesi hadi Kuruya katika barabara kuu ya Mwanza hadi Sirari kutokana na ufinyu wa bajeti ya serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ufinyu wa bajeti wakwamisha ununuzi wa pembejeo

WIZARA ya Kilimo na Maliasili imesema ufinyu wa bajeti umesababisha kuwepo kwa upungufu mkubwa wa pembejeo, ikiwemo mbolea ambayo imepungua kutoka tani 1,500 hadi 620.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ufinyu wa bajeti kikwazo



UFINYU wa bajeti ya serikali umeelezwa kuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaosoma kwa lugha za kigeni kupata mafunzo kwa vitendo.
Hata hivyo, serikali imesema jitihada mbalimbali zinaendelea kufanywa ili kuhakikisha wanafunzi wote wanasoma kwa vitendo.
Kusoma kwa vitendo ni njia mojawapo ya njia za kumwezesha mwanafunzi kuwa na uelewa mpana.

Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango-Malecela.

Alisema Sera ya Elimu aliyoiwasilisha mezani imeweka mikakati...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bohumata yalia ufinyu wa bajeti

BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (Bohumata), inakabiliwa na changamoto ya ufinyu wa bajeti pamoja na upungufu wa waandishi wa vitabu kutoka nchini. Mkuu wa Kitengo cha Mipango wa bodi...

 

10 years ago

Michuzi

UFINYU WA BAJETI WAATHIRI MISAADA KWA WAKIMBIZI-UNHCR

Na Mwandishi Maalum, New York


Shirika la Umoja wa Mataifa  linalohudumia wakimbizi ( UNHCR) linakabiliwa na upungufu mkubwa wa raslimali fedha kiasi cha kuathiri utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wakimbizi  wanaoendelea kuongezeka kila  mwaka.

Hayo yameelewa siku ya  jumatano  na  Kamishna Mkuu wa UNHCR, Bw. Antonio Guterres wakati alipokuwa akiwasilisha taarifa  ya  Shirika hilo mbele ya  wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa.

Katika taarifa  yake hiyo ambayo...

 

10 years ago

Habarileo

Makutano barabara Morogoro, Kawawa kufungwa wiki 2

MKANDARASI mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA BARABARA YA KIVUKONI FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEo

 Taswira za barabara ya Kivukoni Drive jijini Dar es salaam inayoendelea kukarabatiwa na kujengwa njia ya mabasi yaendayo haraka. Hapa ni nje ya Mahakama Kuu

 

11 years ago

Michuzi

MATUKIO YA KUKATIKA KWA MAWASILIANO YA BARABARA YA KIVUKONI CHA KILOMBERO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akionesha kitu wakati Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( kushoto ) akiangalia eneo la maji lililijaa katika mto  Kilombero mei 5, mwaka huu, wakati Mkuu huyo wa Mkoa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ilipotembelea eneo la Kivukoni kuona madhara ya mafuriko. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, akiwa ndani ya boti kwenye mto Kilombero , mei 5, mwaka huu ,tayari kuanza safari ya kurejea eneo sehemu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani