UFINYU WA BAJETI WAATHIRI MISAADA KWA WAKIMBIZI-UNHCR
Na Mwandishi Maalum, New York
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi ( UNHCR) linakabiliwa na upungufu mkubwa wa raslimali fedha kiasi cha kuathiri utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wakimbizi wanaoendelea kuongezeka kila mwaka.Hayo yameelewa siku ya jumatano na Kamishna Mkuu wa UNHCR, Bw. Antonio Guterres wakati alipokuwa akiwasilisha taarifa ya Shirika hilo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.Katika taarifa yake hiyo ambayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziUNHCR WAKABIDHI GARI MPYA KWA AJILI YA IDARA YA WAKIMBIZI NCHINI.
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
UNHCR wamkabidhi gari mpya Waziri Chikawe, kwa ajili ya Idara ya Wakimbizi nchini
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akipokea ufungua wa gari kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole. Gari hiyo ambayo ni mpya aina ya Toyota Land Cruiser imetolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kiutendaji zifanywazo na Idara ya Wakimbizi nchini iliyopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Tukio la makabidhiano hayo lilifanyika katika ofisi za wizara...
10 years ago
Uhuru NewspaperUfinyu wa bajeti kikwazo
UFINYU wa bajeti ya serikali umeelezwa kuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaosoma kwa lugha za kigeni kupata mafunzo kwa vitendo.
Hata hivyo, serikali imesema jitihada mbalimbali zinaendelea kufanywa ili kuhakikisha wanafunzi wote wanasoma kwa vitendo.
Kusoma kwa vitendo ni njia mojawapo ya njia za kumwezesha mwanafunzi kuwa na uelewa mpana.
Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango-Malecela.
Alisema Sera ya Elimu aliyoiwasilisha mezani imeweka mikakati...
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Bohumata yalia ufinyu wa bajeti
BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (Bohumata), inakabiliwa na changamoto ya ufinyu wa bajeti pamoja na upungufu wa waandishi wa vitabu kutoka nchini. Mkuu wa Kitengo cha Mipango wa bodi...
11 years ago
Habarileo26 Apr
Ufinyu wa bajeti wakwamisha ununuzi wa pembejeo
WIZARA ya Kilimo na Maliasili imesema ufinyu wa bajeti umesababisha kuwepo kwa upungufu mkubwa wa pembejeo, ikiwemo mbolea ambayo imepungua kutoka tani 1,500 hadi 620.
11 years ago
Habarileo31 May
Ufinyu wa bajeti wakwamisha barabara ya Kivukoni -Makutano
SERIKALI kwa sasa haina mpango wa kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya kutoka Kivukoni Kinesi -Makutano Kinesi hadi Kuruya katika barabara kuu ya Mwanza hadi Sirari kutokana na ufinyu wa bajeti ya serikali.
10 years ago
BBCSwahili04 Nov
UNHCR yahamasisha wakimbizi kutambuliwa
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
UNHCR yataka wakimbizi kushughulikiwa
10 years ago
Habarileo18 Jul
UNHCR yamshukuru JK kuhifadhi wakimbizi
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi Duniani (UNHCR), limesema kuwa Tanzania imekuwa kimbilio salama la wakimbizi kwa sababu ni nchi salama, tulivu, yenye uhusiano mzuri wa kijamii na inayoongozwa na sera nzuri na za kibinadamu.