Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makutano barabara Morogoro, Kawawa kufungwa wiki 2

MKANDARASI mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Strabag yatangaza mabadiliko makutano ya Morogoro/Kawawa kuanzia Jumatatu

 Mkandarasi mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.
Mabadiliko hayo yanaanza Jumatatu tarehe 17 hadi tarehe 30 mwezi huu. Akitangaza mabadiliko hayo jana jijini Dar es Salaam, Afisa uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Yahya Mkumba alisema mabadiliko hayo yanatokana na matengenezo yatakayokuwa yanafanyika eneo hilo.
Akielezea zaidi, alisema magari yatakayokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WALEMAVU WAFUNGA MAKUTANO YA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

 Wafanyabiashara ambao ni walemavu wakiwa wamekaa katikati ya barabara ya Uhuru na Kawawa huku wakilalamikia kitendo cha Manispaa ya Ilala kuwavunjia vibanda vyao vya biashara na kuwasababishia upotevu na uharibifu wa mali zao katika eneo la Mchikichini pembezoni mwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande).  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao baada ya kufunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru jijini Dar na...

 

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Kawawa/Morocco kufungwa

KAMPUNI ya Strabag International GmbH inayojenga barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka mjini Dar es Salaam, imetangaza kufunga barabara ya Kawawa/ Morocco kesho na keshokutwa ili kupisha ujenzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara ya Kawawa/Kinondoni kufungwa leo

MKANDARASI Mkuu wa Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Strabag International GmbH, imetangaza kufungwa kwa muda kipande cha makutano ya barabara ya Kawawa na Kinondoni kuanzia leo na kesho....

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

11 years ago

Habarileo

Ufinyu wa bajeti wakwamisha barabara ya Kivukoni -Makutano

SERIKALI kwa sasa haina mpango wa kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya kutoka Kivukoni Kinesi -Makutano Kinesi hadi Kuruya katika barabara kuu ya Mwanza hadi Sirari kutokana na ufinyu wa bajeti ya serikali.

 

11 years ago

Michuzi

Dk.MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BARABARA ZA USAGARA - KISESA NA MAKUTANO - NATTA MKOANI MWANZA NA MARA

Leo Jumapili Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (MB) amefanya ziara ya kushtukiza kukagua miradi ya maendeleo ujenzi wa barabara za Usagara - Kisesa yenye urefu wa kilomita 16 iliyopo mkoa wa Mwanza na barabara ya Makutano - Natta illiyopo mkoa wa Mara.Ukaguzi barabara ya Makutano - Natta (Mkoani Mara) Ukaguzi daraja la Kyarano (Wilayani Butiama)Ujenzi Daraja la Kyarano akiwa na Mh.MkonoUkaguzi daraja la Nyashishi barabara ya Usagara - Kisesa, mkoani Mwanza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani