Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara ya Kawawa/Kinondoni kufungwa leo

MKANDARASI Mkuu wa Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Strabag International GmbH, imetangaza kufungwa kwa muda kipande cha makutano ya barabara ya Kawawa na Kinondoni kuanzia leo na kesho....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Kawawa/Morocco kufungwa

KAMPUNI ya Strabag International GmbH inayojenga barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka mjini Dar es Salaam, imetangaza kufunga barabara ya Kawawa/ Morocco kesho na keshokutwa ili kupisha ujenzi.

 

10 years ago

Habarileo

Makutano barabara Morogoro, Kawawa kufungwa wiki 2

MKANDARASI mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kipande cha barabara ya Mandela kufungwa leo

MKANDARASI Mkuu anayeshughulikia mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, Strabag International ametangaza kufungwa kwa muda kipande cha barabara ya Mandela hadi makutano ya Ubungo Mataa kuanzia leo....

 

10 years ago

Michuzi

Kipande cha barabara ya Mandela kufungwa kuanzia leo

Mkandarasi mkuu anaeshughulikia mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, Strabag International ametangaza kufungwa kwa muda kipande cha barabara ya Mandela hadi makutano ya Ubungo Mataa kuanzia leo.
Akiongea jana na waandishi wa habari, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Yahya Mkumba alisema kipande cha barabara ya Mandela kuanzia makutano ya barabara ya morogoro upande wa kushoto uelekeo wa Tabata kuanzia ubungo mataa hadi darajani patafungwa.
Kipande hicho kitafungwa kuanzia...

 

11 years ago

GPL

UJENZI BARABARA YA KAWAWA KWA MAGARI YAENDAYO KASI DAR

Tingatinga likiweka mabomba ya maji pembezoni mwa barabara ya Kawawa ambayo inapitiwa na ujenzi wa barabara maalum ya magari yaendayo kasi jijini Dar es Salaam katika Barabara ya Morogoro.    Mafundi wakiwa kazini kuhakikisha kazi inakwenda vyema.
(Picha/ Chande…

 

10 years ago

Vijimambo

WALEMAVU WAFUNGA MAKUTANO YA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

 Wafanyabiashara ambao ni walemavu wakiwa wamekaa katikati ya barabara ya Uhuru na Kawawa huku wakilalamikia kitendo cha Manispaa ya Ilala kuwavunjia vibanda vyao vya biashara na kuwasababishia upotevu na uharibifu wa mali zao katika eneo la Mchikichini pembezoni mwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande).  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao baada ya kufunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru jijini Dar na...

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU JIJINI DAR WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA ZA KAWAWA NA UHURU

Walemavu jijini Dar es Salaam muda huu wameandamana kwenda ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar eneo la Ilala na kufunga barabara za Kawawa na Uhuru wakilalamikia kuvunjwa kwa meza zao za biashara zilizopo eneo la Karume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani