Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara ya Kawawa/Morocco kufungwa

KAMPUNI ya Strabag International GmbH inayojenga barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka mjini Dar es Salaam, imetangaza kufunga barabara ya Kawawa/ Morocco kesho na keshokutwa ili kupisha ujenzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Barabara ya Kawawa/Kinondoni kufungwa leo

MKANDARASI Mkuu wa Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka, Strabag International GmbH, imetangaza kufungwa kwa muda kipande cha makutano ya barabara ya Kawawa na Kinondoni kuanzia leo na kesho....

 

10 years ago

Habarileo

Makutano barabara Morogoro, Kawawa kufungwa wiki 2

MKANDARASI mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.

 

11 years ago

GPL

UJENZI BARABARA YA KAWAWA KWA MAGARI YAENDAYO KASI DAR

Tingatinga likiweka mabomba ya maji pembezoni mwa barabara ya Kawawa ambayo inapitiwa na ujenzi wa barabara maalum ya magari yaendayo kasi jijini Dar es Salaam katika Barabara ya Morogoro.    Mafundi wakiwa kazini kuhakikisha kazi inakwenda vyema.
(Picha/ Chande…

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU JIJINI DAR WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA ZA KAWAWA NA UHURU

Walemavu jijini Dar es Salaam muda huu wameandamana kwenda ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar eneo la Ilala na kufunga barabara za Kawawa na Uhuru wakilalamikia kuvunjwa kwa meza zao za biashara zilizopo eneo la Karume.

 

10 years ago

Vijimambo

WALEMAVU WAFUNGA MAKUTANO YA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

 Wafanyabiashara ambao ni walemavu wakiwa wamekaa katikati ya barabara ya Uhuru na Kawawa huku wakilalamikia kitendo cha Manispaa ya Ilala kuwavunjia vibanda vyao vya biashara na kuwasababishia upotevu na uharibifu wa mali zao katika eneo la Mchikichini pembezoni mwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande).  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao baada ya kufunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru jijini Dar na...

 

11 years ago

Habarileo

Barabara Ubungo kufungwa

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag International GmbH inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) imetangaza kufungwa kwa baadhi ya njia katika eneo la taa za Ubungo, Dar es Salaam kuanzia leo usiku hadi keshokutwa kwa ajili ya kuruhusu ujenzi.

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA BAADA YA WAJASILIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

Kundi la walemavu, wajasilimali wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa masaa matatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa Juu ya gari kuangalia tukio hilo lililodumu kwa muda wa zaidi ya masaa matatu katika eneo la makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume).  Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani